Meli imezama

FakeGirl Naomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
226
Reaction score
705
Ibaki hivyohivyo kwamba meli imezama rasmi Leo, ukishakula nyama ya mtu, huwezi kuacha. Watajiuliza, sasa sisi mbona tumebaki wenyewe, hapo wataanza kubaguana kwa udini, ukabila, na hata mambo binafsi, haijalishi ni ya kijinga namna gani, yatakuwa ya kitaifa. Na eventually, yatabadili hata mwelekeo wa taifa.

TUWEKE CHECKPOINT VICHWANI MWETU

Tukisahau, Tutarudia palepale

"The price of Ignorance is going through the same circle of mistakes"

Long Life JF

Wajukuu zetu watajua kiasi gani tulikuwa mataahira
 
 
Smart mind hatutaji kutafuniwa.............tunasaga na kukoboa in the sometime
 
Ukiangalia nyuma utageuka na kuwa teja mwenzenu NAPE tayari hii vita ni ngumu mno wakati mwingine hakuna kucheka na ngedere.
 
Kwa hili leo sina la kusema zaidi ya udikteta sasa hivi hawa maraisi wengine wako wapi jamani
 
Asanteni Mods

Hata hivyo tu inatosha.

JF italipwa tu

Hapa duniani, na kwingineko tusikokujua


Ilihitajika kipande cha barafu (barafu ni maji tu yaliyokosa joto) ili kuizamisha Titanic iliyoaminishwa HAINA uwezo wa kuzama!

Thanks JF!

Source of Our Victory When Time Will Allow It!

And It WILL!

Though Not Today!
 
jaman mbona naona maluweluwe ivi yanapita kichwan mwangu.......!!!!
uncle uncle jaman, ivi hii ni nn lakin!!
Mungu anakuona Uncle......!!!!
 
Ni lazima usome between lines, ni moja kati ya vitu vizuri kusoma food for thought
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…