Meja General Rwigema

Wakati nyie mko Ndani ya Rwanda mnakula matunda ya Nchi, wenzenu Wahutu wako ukimbizini kuwakimbia nyie
Rwanda Haina wakimbizi inje ya nchi! Waliopo wako kwahiyari yao na wengine ni wauaji wanaogopa kurudi kukabiliana na sheria.
 
Ndio Maana tuliendelea kuwa maskini wakati tuliokuwa nao Sawa wakati wa uhuru wametuacha mbali.

Pesa nyingi Sana tumetumia kufadhili waasi wa nchi mbali mbali Mfano kabila, mseveni, Huyu,
Nyingine zikaishia kulisha majeshi ya nchi za watu.
Mimi bado huwa najiuliza, ilikuwaje Botswana isijihusishe Sana na mambo ya South Africa na Zimbabwe Kuliko Tanzania??
Rais wa Botswana hakuwa na asili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom