kama nina ujuzi wangu itabidi unilipe scale sawa na ya serikali kama si zaidi, la sivyo tafuta mfanyakazi mwenye njaa umlipe mshahara mdogo.Ndio kusema Sekta binafsi wapigeje kura zao?
kule sekta binafsi wako wanaolipwa 100,000 baada ya kukatwa bima na NSSF. Hawa wako kwenye hatari kubwa sana ya kujiingiza kwenye wizi wa mali za mwajiri, ukahaba, na ombaomba ili kujikusulu. Serikali, serikali, serikali!!! imarisheni private sector, ndiyo engine ya uchumi duniani kote, hatuwezi kusema kilegelege juu yao namna ileHii inamaana yule aliye sekta binafsi Mshahara kwanzia 500,000 hatakatwa Kodi. Ila ile inayoongezeka juu ya 500,000
Sekta binafsi wana pesa.kule sekta binafsi wako wanaolipwa 100,000 baada ya kukatwa bima na NSSF. Hawa wako kwenye hatari kubwa sana ya kujiingiza kwenye wizi wa mali za mwajiri, ukahaba, na ombaomba ili kujikusulu. Serikali, serikali, serikali!!! imarisheni private sector, ndiyo engine ya uchumi duniani kote, hatuwezi kusema kilegelege juu yao namna ile
Yeah kuna jobless wengi sana mtaani wako tayari kufanya kwa mshahara wowote hata kwa internship.Kwa uwingi wa watu waliopo haliwezekan tena, zamani ndio walikuwa wako tayari wakulipe pesa ndefu. Sahiz wana option nyingi
Ht serikali ikitangaza nyongeza kwa sekta binafsi huwa hawatekelezi wanapuuziaga tu.Wakati wenzao wa Sekta ya umma wakifurahi na kurukaruka kwa nyongeza ya mshahara wenzao wa Sekta binafsi hawajui la kufanya. Bidhaa zimepanda kwa watumishi wote na wote wanaishi kwenye mitaa ileile na kukua kwenye maduka yaleyale; wanachekana.
Bodi fanyeni hima kunusuru Sekta binafsi ambao ni watia huduma wazuri na walipa Kodi pia.
Acha danganya Toto kule kuna watu wanaolipwa mpaka 150k per month pamoja kuwa kimo cha chini kilikuwa 370k unafikiri sasaiv ndo watalipa hiyo hela???Kama ukilipwa chini ya laki 5 sector binafsi kuanzia july una haki ya kwenda mahakama ya kazi.
Wahindi inabidi waongeze mishahara.....walinzi waongezewe mishahara.
Miundumbinu ya mwajiti mibovu na washauri wake Hawa ujuzi forecast. Hapo umejibuwaShida sekta binafsi huwa hawasemi kuwa wanateseka.
Huwa wanasema sekta ya umma, mishahara kidhchu, wavivu, hawana KPIs na hawazalishi.
Sasa shida nini?
Miundombinu gani??Miundumbinu ya mwajiti mibovu na washauri wake Hawa ujuzi forecast. Hapo umejibuwa