Mega mall: Opening soon

Nadhani hapo ni Mpitimbi kwa kweli.Hata hivyo hongera yao.
 
Aisee mshana jr, mzaha mkali kwelikweli!. Nimefungua haraka kutaka kuona rock city mall inayopigiwa upatu kwamba hakuna aina hiyo afrika mashariki!

Hahaha hujakosea hiyo huwezi ipata popote pale pengine
 
Last edited by a moderator:
Nilifikiri ile iliyofunguliwa kwa ndugu zangu wasukuma; Wakapanga foleni ili kupanda zile ngazi na kushuka. Teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…