Kwanini umesema,nimsalimie katavi
Hapana ni family moja hapa jf,ila sina hata ukaribu nayeAvatar yakoo imenifanya nimkimbuke na kuhisi mnafahamiana.
Hapana ni family moja hapa jf,ila sina hata ukaribu naye
PoaOoh Safi, mie tumetoka familia moja huko unyamwezini.
Dah umeniibia avatar......Kwanini umesema,nimsalimie katavi
Inabidi nitafute avatar nyingine,,,,,,,,,,maana hii ina miaka 9 sasa.Avatar yakoo imenifanya nimkimbuke na kuhisi mnafahamiana.
Inabidi nitafute avatar nyingine,,,,,,,,,,maana hii ina miaka 9 sasa.
Sawa Kasie itabidi niwaombe wabadili hawa maana nimeona watu kama watatu humu wanaitumia hii avatar.Hapana usiibadili.that's you,that's your identity.
Unaona kwa avatar tuu nimekutambua na nikakusabahi. Ukibadili utapotea zaidi ya ulivyoadimika sasa.
Huyu mgeni kwa upendo tuu Ndo abadili avatar wewe ubaki na hiyohiyo tafadhali.
Mie sifikirii kuibadili yangu na ikitokea mtu akaitumia ntamsihi tuu abadili atafute ingine.
No naipenda hii bana....don't please...
Sawa Kasie itabidi niwaombe wabadili hawa maana nimeona watu kama watatu humu wanaitumia hii avatar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanasheria awe mzungu tu
akiwa ngozi ya tako hadi kutafuta watoto atakupangia sheria