donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwenye mahusiano sheria yake inabaki ofisini akija kwangu nami anakuta nimewiva kwenye sheria kandamizi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mwanasheria awe mzungu tu
akiwa ngozi ya tako hadi kutafuta watoto atakupangia sheria
Kama kawaida akizingua mabanzi anapata na kitombo kitakatifu anapokea vilevileKwenye mahusiano sheria yake inabaki ofisini akija kwangu nami anakuta nimewiva kwenye sheria kandamizi.
Kwenye mahusiano sheria yake inabaki ofisini akija kwangu nami anakuta nimewiva kwenye sheria kandamizi.
Kweli, hizo sheria zake sio sehemu ya ndoa.Kama kawaida akizingua mabanzi anapata na kitombo kitakatifu anapokea vilevile
Basi nimeshakuimagine mdada, kasoro wewe bwanyenye (bonge) kid goHuyo mwenye miwani ...........
Tabasamu lake.......
Rangi yake........
Resembles......
Kasie Matata.
Basi nimeshakuimagine mdada, kasoro wewe bwanyenye (bonge) kid go
Hahaha, I know sis.Sio tuu bonge kidogoo,ni Bonge haswaaaa.
Nafkiri tangu enzi za IFM mpaka sasa utakua unakaribia 110KgsSio tuu bonge kidogoo,ni Bonge haswaaaa.
Sijakataa, nimeongelea when it comes to divorce settlingKutojiamini tu. Mwanasheria pia anaweza kuwa mke, tena bora
Damu mkuuHata haipendez walitakiwa wamix professions na sio wote laywers! As long as Mungu aliwapa uwezo ingekua bora zaidi
Yah mkuu but imagineDamu mkuu
Hahaha, I know sis.
Nafkiri tangu enzi za IFM mpaka sasa utakua unakaribia 110Kgs