Meet the new FLOTUS

huyo ndio kiboko ya trump.....ubabe wake wote hapo kwishaaa.......
 
Hukuona accusation kuwa kuna watu amewachagua wako so close na Putin?

Wako close kivipi hasa?

Manake isije kuwa ni propaganda za kisiasa tu.

Karibu mainstream media yote ya Marekani ni anti Trump. Hivyo mimi binafsi siamini sana wanayoyasema.

Majuzi hapa mwandishi wa Time magazine ali tweet uongo kuwa eti Trump kaiondoa bust [ sanamu] ya Dr. King Oval Office..wakati haikuwa kweli.

Mimi sidhani kama Marekani ikiwa na uhusiano mzuri na Russia ni jambo baya.

Kwa hiyo Trump na Putin waki get along vizuri kwangu hilo ni jambo jema.

The world needs more getting along than falling out....
 
Back
Top Bottom