Meet Apple M1 Ultra

Hakuna anaekataa suala la power mkuu, ila Apple wamezungumzia raw perfomance, link nimekuekea na graph nimekuwekea zamu yako na wewe leta ushahidi Apple hawakuzungumzia perfomance bali walizungumzia watts.
Chief

Asus Vivobook 15 X505BA
13" MacBook Air M2

Kati ya hizo laptop mbili hapo juu ipi iko vizuri zaidi?
Halafu bei ya hiyo Asus nimekuta ni 1,900,000 Jiji kwa (12GB/512) na hiyo 13" MacBook Air M2 nimekuta 2,500,000/=
Hizo bei ni sahihi?
 
Unaweza niwekea link ya hio Asus ama cpu husika? Maana nimegoogle model ni low-end ya zamani sana.

Kama una budget ya 2M kwa sasa windows laptop iwe gen ya 14 (metero lake) ama Ryzen zen 4 (phoenix, phoenix2 au Hawkpoint)
 
Halafu kwa 2.5M,unashauri MacBook gani
Link ya hiyo Asus ni hii

Halafu kwa 2.5M,unashauri MacBook gani
Link ya hiyo Asus ni hii

M1 Bado nzuri kwa MacBook, sababu zimeshuka Bei unaweza kutumia hio budget kupata yenye ram/storage kubwa.

Hio Asus Bado sijaielewa Haina issue.
 
Bado mkuu, tatizo laptop nyingi za 2M ninazotajiwa zina specification nzuri ila design sizielewi. Ningepata hata Windows laptop yenye design kama LG GRAM 17 au Microsoft Surface Laptop Go 2 yenye specs zinazofaa ningepita nayo tu

Leo AliExpress nimekutana na hii hapa

Naona specification ziko poa af bei ni kitonga mno, hiyo inauzwa milioni mbili. Link yake ndo hiyo
Je, inafaa?

Screenshot_2024-01-09-09-28-19-229_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Bado mkuu, tatizo laptop nyingi za 2M ninazotajiwa zina specification nzuri ila design sizielewi. Ningepata hata Windows laptop yenye design kama LG GRAM 17 au Microsoft Surface Laptop Go 2 yenye specs zinazofaa ningepita nayo tu

Leo AliExpress nimekutana na hii hapa

Naona specification ziko poa af bei ni kitonga mno, hiyo inauzwa milioni mbili. Link yake ndo hiyo
Je, inafaa?

View attachment 2865960
China si mahala pa kununulia laptop mkuu, 9th generation ni ya kizamani, zote GPU na Cpu hapo hamna kitu kwa hio Bei, halafu brand ni no name.

Kuelewa zaidi angalia benchmark comparison ya i3 za Sasa na hio i9.

Screenshot_20240109-101247_Pixel Launcher.png

Hii ni i9 ya hio laptop
Screenshot_20240109-101217_Pixel Launcher.png

Hii i3 gen ya 12 ambayo mpya online as cheap as $250.

Na hii laptop za kawaida ambazo unazipata Chini ya milioni hapa bongo Ryzen 5xxx series
Screenshot_20240109-102047_Pixel Launcher.png

Unataka Laptop kama LG gram ama surface Go 2 Ina maana Ultrabook? Iwe na dedicated GPU ama inaenda kufanyia nini?
 
China si mahala pa kununulia laptop mkuu, 9th generation ni ya kizamani, zote GPU na Cpu hapo hamna kitu kwa hio Bei, halafu brand ni no name.

Kuelewa zaidi angalia benchmark comparison ya i3 za Sasa na hio i9.

View attachment 2865972
Hii ni i9 ya hio laptop
View attachment 2865973
Hii i3 gen ya 12 ambayo mpya online as cheap as $250.

Na hii laptop za kawaida ambazo unazipata Chini ya milioni hapa bongo Ryzen 5xxx series
View attachment 2865976

Unataka Laptop kama LG gram ama surface Go 2 Ina maana Ultrabook? Iwe na dedicated GPU ama inaenda kufanyia nini?
Of course nahitaji Ultra book yenye dedicated GPU
Matumizi ni mixed
*Kuangalia movies/ hapa brightness iwe walau 450nits. Kama sio MacBook basi OLED display itafaa zaidi.
Ila hata kama zipo high quality IPS display nazo sawa tu
*Kubrowse kwenye internet
*Kucheza games (ila games ni kidogo tu sio kwamba Mimi ni very heavy gamer)
*Kama sio MacBook basi at least internal storage iwe 512GB, 16GB RAM pia itapendeza ila kama zipo powerful PCs zenye 8GB RAM nazo sawa tu. Maana sidhani kama 8GB hainitoshi kwa multitasking
  • Ila sitaki Chromebooks
  • Design iwe nzuri, nyembamba zitafaa zaidi. Kama sio MacBook basi iwe na ports nyingi
*Bei iwe around 1,900,000 hadi 2,300,000

Bei za hapa Bongo ndio nazipa kipaumbele, ila hata za Amazon sio mbaya

Hizi laptop sina uelewa nazo sana ndio maana zinanipa tabu kwenye kuchagua
 
Mkuu Ultrabook na dedicated GPU huwa haziendi sana, ushauri tafuta ambayo Haina dedicated GPU ila iwe na gpu ya ndani ambayo ni nzuri, mfano Ryzen 5 ama 7 kuanzia 6xxx series zinakuja na igpu ya Radeon 660, 680, 760 ama 780M hizi zinakula Umeme kidogo, ama Intel Meteor lake (gen ya 14) sema ndio zinatoka Sasa hivi pengine baada ya mwezi zitachanganyana sokoni, hizi pia zinakuja na arc graphics pia zinakula Umeme kidogo kubrowse battery life inaweza fika masaa 18 Hadi 20.

1. MacBook M1
Kama nilivyokwambia juu M1 still nzuri kuliko M series mpya kwenye ulaji Umeme, pia Bei zake Sasa hivi zimeshuka Chini ya $700 Amazon ina maana budget Yako inatosha kabisa, ram 8GB na storage 256GB. Haziongezeki storage kirahisi.

2. Windows laptop.
Inayofit mahitaji Yako kwenye hio budget naona kama ZenBook 14 OLED version, zinakuja na processor mbalimbali ila zinazokaa na chaji ni za Ryzen around masaa 10 kubrowse na masaa 15 ya kuangalia video.

Hizo ulizozitaja huko juu pia unapata kama Surface laptop 4 Sasa hivi ni kama $500 tu sema Cpu yake ni Ryzen 4980U nzuri ila sio level za kina M1/Ryzen 6xxx series na kuendelea.
 
Shukrani Chief
 
Back
Top Bottom