Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,510
Kwa hio unahisi wakianza kuuza M1 ultra kwa Oems ghafla tu wanafunzi Udom na udsm wataanza kumiliki laptop za milioni 5 mpaka 20.Ana haki ya kuuza bei anayotaka maana ni bidhaa ya kwake, mteja ndo ataamua
Na kama hujui watu wengi wanaonunua bidhaa za Apple ni ubora wa ecosystem yao tu, hebu fikiria kitu kama continuity vitu vidogo vidogo unamalizana navyo pasipo tabu
Mkuu wanafunzi wengi hata pcs wanatumia pcs cheap tu za lak 4, 3 tene refurbished unakuta mtu mpaka sasa anatumia dell d620Kwa hio unahisi wakianza kuuza M1 ultra kwa Oems ghafla tu wanafunzi Udom na udsm wataanza kumiliki laptop za milioni 5 mpaka 20.
Ndio exactly point yangu, kampuni mbili tofauti zenye malengo tofauti.Mkuu wanafunzi wengi hata pcs wanatumia pcs cheap tu za lak 4, 3 tene refurbished unakuta mtu mpaka sasa anatumia dell d620
M1 ultra was made for professionals in mind not for students, wanafunzi wao watakomaa na MacBook Air and still powerful enough than most of intel pc thereKwa hio unahisi wakianza kuuza M1 ultra kwa Oems ghafla tu wanafunzi Udom na udsm wataanza kumiliki laptop za milioni 5 mpaka 20.
So unaamini wanafunzi wanaweza ku Afford machine za Milioni 2 kupanda.M1 ultra was made for professionals in mind not for students, wanafunzi wao watakomaa na MacBook Air and still powerful enough than most of intel pc there
Hizo PC unazotaja hakuna inayouzwa chini ya 2M hapa bongo ikiwa brand new.So unaamini wanafunzi wanaweza ku Afford machine za Milioni 2 kupanda.
Na si wanafunzi wote wanataka Macbook Air kuna wanafunzi pro pia, kwenye elimu yao wanahitaji machine za ku render ama za Cad etc.
Na for sure i7 na i5 za alderlake zina nguvu kushinda m1, ambacho sijui ni i3 tu za alderlake, maana bado sinaona reviews zake.
Kwa logic yako mkuu ya kutumia laptop city kama benchmark ya BeiHizo PC unazotaja hakuna inayouzwa chini ya 2M hapa bongo ikiwa brand new.
Nilimpeleka mtu Laptop City akataka achukue core i7 bei inaanzia 3M.
Wewe hizo za chini ya 2M unatoa wapi?
Na mwingine nipo nae ofisi moja amechukua pc core i7 gen 10 amenunua 2.8M.
Hizo bei zako ni unrealistic. Hazipo na hakuna pa kuzipata.
Mkuu, hata sielewi unatetea nini!? Maana unajichanganya sana, mashine gani ya core i5 au i7 ambayo ni chini ya 2M ? Au unazungumzia used one!? Halafu unaposema core i5 na i7 zina nguvu kuliko M1 hiyo umeitoa wapi au based on your review!? Najua upo hapa kumdefend intel lakini punguza mahaba ongea kwa uhalisiaSo unaamini wanafunzi wanaweza ku Afford machine za Milioni 2 kupanda.
Na si wanafunzi wote wanataka Macbook Air kuna wanafunzi pro pia, kwenye elimu yao wanahitaji machine za ku render ama za Cad etc.
Na for sure i7 na i5 za alderlake zina nguvu kushinda m1, ambacho sijui ni i3 tu za alderlake, maana bado sinaona reviews zake.
Unaweza kupata kwa hiyo hela labda pale kariakoo zile used lakini sio mpya na may be sijui maduka wanakouza mpya kwa bei hiyo hebu tulengeshane huenda mi nimechelewa mjiniKwa logic yako mkuu ya kutumia laptop city kama benchmark ya Bei
MVVK2 MACBOOK PRO
CORE I9-9TH GEN 16 INCHES 16GB 1TBSSD 4GB GRAPHICS TOUCH BAR TOUCH IDlaptopcitystore.co.tz
Macbook pro hio tena ya intel ambayo inapatikana kama $2200 kwenye masoko mengi ulimwenguni inauzwa milioni 8 laptop city.
Hio bei unaenda Dubai unakaa siku kadhaa unanunua laptop unarudi na Change inabaki.
Angalia Avechi kenya bei
Lenovo Laptops Price in Kenya - Avechi
Latest Lenovo laptops in Kenya at Avechi are thinkpad E480 i5, X1 carbon G6 and Think book 14 G2. In stock ; Pay on delivery: 1-Year warrantyavechi.co.ke
Hapo i3 ni around laki 9 na i5 around 1.3m mpaka 1.5m gen za kisasa ya 10 ama 11 na iris Graphics.
Nimekupa Avechi sababu ndio naweza kukuthibitishia hapa, ila humu jukwaani hizo i3 za gen ya 10 tumei discuss sana na wengi wanapata kwa hio bei na i5 definetely unapata pia kwa around 1.3m. Capricon, laptop city na maduka mengine makubwa wana Vitu vingi na rare ila bei zao almost ni double ya Bei halisi.
hapo intel ndo huwa anawapiga na kitu kizito tsmc10nm ya Intel ni superior kuliko 7nm ya TSMC, ila 5nm ya TSMC ni superior kwa 10nm ya Intel.
Hivyo si kweli kwamba intel yupo 5 year Behind just one generation.
Hivyo sitashangaa 7nm ya intel ikiwa sawa na 3nm ya Tsmc.
not just M1, Bali m1 pro which cost twice ya hio M1 na link nilitoa kabla na nakuekea tenaMkuu, hata sielewi unatetea nini!? Maana unajichanganya sana, mashine gani ya core i5 au i7 ambayo ni chini ya 2M ? Au unazungumzia used one!? Halafu unaposema core i5 na i7 zina nguvu kuliko M1 hiyo umeitoa wapi au based on your review!? Najua upo hapa kumdefend intel lakini punguza mahaba ongea kwa uhalisia
thereUnaweza kupata kwa hiyo hela labda pale kariakoo zile used lakini sio mpya na may be sijui maduka wanakouza mpya kwa bei hiyo hebu tulengeshane huenda mi nimechelewa mjini
Ndo nimekwambia share nasi hizo online na mitaani na sisi tutafute hizo laptop kabla hatujachelewanot just M1, Bali m1 pro which cost twice ya hio M1 na link nilitoa kabla na nakuekea tena
Intel Core i7-12700H Review: Alder Lake on the Go
Alder Lake is Intel's first serious step into the world of hybrid architectures (P-Cores and E-cores). This is our first look at 12th-gen Core mobile processors, starting...www.techspot.com
na kusema hupati machine ya i5 kwa chini ya milioni 2 ni kuhangaishana tu, zimejaa kibao kuanzia online mpaka mitaani
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
hio hapo i5 11th gen 12gb ram na 512gb ssd kwa 1.7m ukitaka za standard 256gb ssd na 8gb ram they are even cheaper.
Ulielewa kweli hiyo comment uliyoniquote!?there
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
na kama una mkwanja wa milioni kadhaa chukua laptop Amazon tu, shipping ya dola 100 its nothing linapokuja kwenye bidhaa ya milioni 2 kupanda, unasave hela nyingi.
Hizi huwa ni used ila ni refurbished na kama hujui device ambazo ni used na refurbished basi utaona refurbished ni new, hii ni kama biashara ya simu za iPhone pale makumbusho tunot just M1, Bali m1 pro which cost twice ya hio M1 na link nilitoa kabla na nakuekea tena
Intel Core i7-12700H Review: Alder Lake on the Go
Alder Lake is Intel's first serious step into the world of hybrid architectures (P-Cores and E-cores). This is our first look at 12th-gen Core mobile processors, starting...www.techspot.com
na kusema hupati machine ya i5 kwa chini ya milioni 2 ni kuhangaishana tu, zimejaa kibao kuanzia online mpaka mitaani
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
hio hapo i5 11th gen 12gb ram na 512gb ssd kwa 1.7m ukitaka za standard 256gb ssd na 8gb ram they are even cheaper.
Mkuu si nimekuwekea link ya ZoomTanzania? Nimelink na laptop husikaNdo nimekwambia share nasi hizo online na mitaani na sisi tutafute hizo laptop kabla hatujachelewa
We ni mteja safi sana, wafanyabiashara wengi watakupenda ili wakuekee faida kubwa.Hizi huwa ni used ila ni refurbished na kama hujui device ambazo ni used na refurbished basi utaona refurbished ni new, hii ni kama biashara ya simu za iPhone pale makumbusho tu
Bei ninazoongelea nyingi ni za maduka ya mjini.Kwa logic yako mkuu ya kutumia laptop city kama benchmark ya Bei
MVVK2 MACBOOK PRO
CORE I9-9TH GEN 16 INCHES 16GB 1TBSSD 4GB GRAPHICS TOUCH BAR TOUCH IDlaptopcitystore.co.tz
Macbook pro hio tena ya intel ambayo inapatikana kama $2200 kwenye masoko mengi ulimwenguni inauzwa milioni 8 laptop city.
Hio bei unaenda Dubai unakaa siku kadhaa unanunua laptop unarudi na Change inabaki.
Angalia Avechi kenya bei
Lenovo Laptops Price in Kenya - Avechi
Latest Lenovo laptops in Kenya at Avechi are thinkpad E480 i5, X1 carbon G6 and Think book 14 G2. In stock ; Pay on delivery: 1-Year warrantyavechi.co.ke
Hapo i3 ni around laki 9 na i5 around 1.3m mpaka 1.5m gen za kisasa ya 10 ama 11 na iris Graphics.
Nimekupa Avechi sababu ndio naweza kukuthibitishia hapa, ila humu jukwaani hizo i3 za gen ya 10 tumei discuss sana na wengi wanapata kwa hio bei na i5 definetely unapata pia kwa around 1.3m. Capricon, laptop city na maduka mengine makubwa wana Vitu vingi na rare ila bei zao almost ni double ya Bei halisi.
Mkuu nimetoa link ya 1.6-1.7m mjini kisutu lenovo, ipo juu hapo.Bei ninazoongelea nyingi ni za maduka ya mjini.
Dell & hp brand new hupati kwa chini ya 2M kwa core i5 & i7.
Hata wale authorized dealers kama reddot, hawakupi bei ya chini ya 2M.