cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,416
Nasikiliza kipindi cha Amplifier top10 countdown kinachorushwa hewani na redio ya watu Clouds FM na nimegundua kimepoteza kabisa taste yake, mvuto na burudani iliyokuwa inatolewa kipindi cha nyuma alipokua anatangaza Millard Ato peke yake.
Hapo nyuma nilijikuta nikifungulia hiki kipindi baada ya mihangaiko kila jioni na kupata burudani murua na kutoa stress pamoja na uchovu lakini baada tu ya huyu bidada Meena Ally kujiunga kipindi kimepoteza mvuto kabisa, amekuwa akimvuruga tu Millard na kumtoa kwenye concentration ya utangazaji.
Yaani anazidisha utani mwingi hadi anajisahau kama yupo kwenye kipindi mara kumkashifu Millard akikosea baadhi ya maneno yakiingereza kwa kejeli, yaani ni vurugu vurugu tu hadi nahisi Millard anachoka.
Huyu dada ni mtangazaji mzuri kwenye vipindi vingine ila kwenye hiki kipindi cha countdown hakuna chemistry kabisa kati yake na Millard.
Meena ana sauti nzuri apewe vipindi vingine hapo mawingu, amplifier anaharibu!