Meditation sio kwa waamini....

Nahitaji kujua kufanya hii kitu! Napata wapi mwalimu anicoach?
 
Kwa hapa, nimekukubali Mshana Jr, huo ndio ukweli hasa kuhusu meditation.
 
Mshana Jr habari, kuna wakati fulani nilikua kwenye mafunzo ya dini kwa ngazi fulani katika kikundi fulani ndani ya kanisa.
Kitu cha kwanza tulicho ambiwa ambacho ni kama kanuni wakati wote unapokua kwenye hicho kikundi au nje ya, kama Mkristo baada ya sala za mwanzo kinacho fuata ni kukaa ukimya kwa muda usiopungua dakika 20.
Wakati tulipokua tunaanza tiliambiwatuanze kidogo kidogo mpaka uzoefu utakapo jengeka.

Tuliambiwa ni vigumu kidogo kukaa ukimya bila kuingiliwa na mawazo ila tuwe tuna concetrate kwenye Msalaba

Japo changoto zilikua nyingi lakini kipengele hicho kiniinua kiroho sana.

Nilipokuja kusikia na kusoma baadae sana hapa jf mambo ya meditation na faida zake ndio nikajua maana ya yale mafunzo.

Sasa mkuu unaposema meditation sio kwaajili ya waamini mkuu imenichanganya kidogo.
 
Nadhan uko sahihi.imani ni kwa waliookomaa huenda baada ya kupitia mazoezi mengi ya meditation.

Vilevile kufikia hatua ya kuwa na imani timilifu ni mchakato unaihitaji meditation.
 
Bado niko sahihi ndio maana hawakuwaambia ishu ya meditation, between hiyo imani ni zile imani zenye ziada ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…