Meditation sio kwa waamini....

Kwa hio Mshana jr meditation ni dhambi?vipi kuhusu Unajimu?je hivyo ndo tunavyo onywa kwenye amri ya 1."Mimi ndimi Bwana Mungu wako,usiabudu miungu wengine"?
Meditation si dhambi hasa ukiitumia kiimani kwa imani yako... Shida hapa ni kwamba unatumia njia ndefu wakati shortcut IPO
Dhambi ya meditation inakuja pale unapoichanganya na imani za miungu na kuanza kuhoji uwepo na uwezo wa Mungu mkuu
 
Nashukuru sana brother umeniongezea kitu kikubwa sana, na nimevigundua vingi ningumu kuamini ila unaweza fikisha mudaa mrefu sana huna matamanio ya kufanya mapenzi kabisaa na hata ile hamu, au kula vyakula vizuri kupenda ufahari n.k yani unakuwa mtu wa kujitenga sana na upole. Thanks brother nina maswali mengi sana usinichoke kuhusu hii kitu maana nilikuwa nafundishwa na Ku practice kitu nisichokijua umeona hatari hiyo?
 
Meditation si dhambi hasa ukiitumia kiimani kwa imani yako... Shida hapa ni kwamba unatumia njia ndefu wakati shortcut IPO
Dhambi ya meditation inakuja pale unapoichanganya na imani za miungu na kuanza kuhoji uwepo na uwezo wa Mungu mkuu
Shukrani nimekuelewa.
 
Asante karibu bila shaka niko free mpaka saa nane usiku nitakapoingia kilingeni
 
Kuna kitu nakumbuka mwalimu aliwahi kutufunza baada ya kufikia level fulani alisema sasa mtakapo kuwa mmepata utulivu wa kutoshaa anza kuukumbuka urushaji wa ngumi na movements zote na kumkwepa na kufanya mashambulizi huku unajilinda pia ifike mahala pigana mpka na watu 2 katika meditation yako hakikisha hawakushindi kabisa. Hii ni aina gani nayo?
 
Mmh... Unafahamu kitu kinaitwa monkey mind theory? Na hii kitu inaitwa tranquilize of the mind? A secret of opening third eye? Unapofika hatua hii movements ziko akilini mikono ni kijumbe tu... Kwahiyo unaona na kuact kiroho kabla ya kimwili
Kabla adui hajafanya yake wewe tayari ushajua... Kwenye ufahamu wako tayari umeshamtangulia sekunde kadhaa kwakuwa mind yako iko sharp clean n pure
 
- Non judgemental
Mpaka leo naangalia chini ili niwe naona miguu tu..
Save yourself first.
 
Sasa nazidi kufunguka na itabidi hivyo vitu nivisome kinaga ubaga kupata maana zake. Nakumbuka alisema lazima ufahamu Mpinzani wako anataka kukutendea nini mapema kabisa kabla hajathubutu kufanya ili atakapofanya uwe umekwisha tambua hicho kitendo. Na tulikuwa tunapractice sanaa ila pawe pametulia hasa kuna muda unajiona kabisa unaelemewa na ukimaliza kichwa kinauma. Na kadiri siku zinavyozidi kwenda unaimprove hata katika mpangilio wa mapigo na uharaka pia. Na kwanini baada ya kumaliza unapaswa utulie kwanza utafakari meditation yako kwa muda kiasi ndiyo muondoke.?
 
Ule muda wa kutulia ni muda wa kuipa sever ya akili ihifadhi nambo kabla hujachanganya na mengine utakayokutana nayo
 
maana za meditation naona zinatafautiana kati ya ntu na ntu,mana mie kwangu hata sala ni aina ya meditation
 
Ule muda wa kutulia ni muda wa kuipa sever ya akili ihifadhi nambo kabla hujachanganya na mengine utakayokutana nayo
Nimekuelewa mkuu ikitokea nimekwama katika ishu yoyote nitaku PM unipe mwongozo nilipunguza niliona napoelekea siyo nikaanza kujiogopa sasa
 
Pia mwalimu wetu alipata bahati kubwa sana akaajiriwa na Tpdf. Hivyo mambo mengi yalipungua sana kujiongoza na majukumu na umri tukawa tumetawanyika sana kila mtu anapambana hivyo ile morali imepungua sana.
 
" Meditation kwa tafakari za Kimungu "
By mshana jr
" Meditare in God 's Word "
By TB Joshua
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
" Meditation kwa tafakari za Kimungu "
By mshana jr
" Meditare in God 's Word "
By TB Joshua
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji144]
 
Kabla sijaanza kufanya meditation ingawa ninatumia Maombi; nilikuwa na wasiwasi, uoga kiasi, mapigo ya moyo kwenda kasi, hasira, uzinifu na mengine mengi. Haya na mengine mengi kama chuki, usengenyaji, dharau, husuda, ugomvi, uchonganishi, wizi, wivu na zaidi kwa asilimia kubwa hufanywa pia na waumini watumiao MAOMBI.

Nilipoanza meditation nilianza kuwa na huruma, hakuna hasira, kuhisi jambo kabla halijatokea, kuota ndoto zinazokuwa kweli, kuwa jasiri (nilikuwa napita hadi maeneo ya hatari yenye wezi, vibaka, usiku mnene bila wasiwasi), hakuna kuuguaugua. Na mengine meeengi aisee.

Kiufupi, kwangu mimi kwa uzoefu nilioupitia japo sio mkubwa nimeona upo utofauti wa hali ya juu kati ya Maombi pekee na Meditation. Nilipoacha Meditation niliyumba hadi kiuchumi.

Kipindi nafanya sikuwa na tatizo la kiuchumi...nilikuwa nikiishiwa hela nikiconcetrate hata kama nipo ktk daladala siku haitaisha bila kupata ufumbuzi. Ila nilikuwa nikitumia Maombi na Meditation sio kimoja tu. Na sasa nimeanza tena.
 
Hivyo viganja vilivyobeba hizo punje kuna chochote ambacho ni chako? Sorry lakini
 

Dah umenitia aibu mbele za watu, nimecheka kama jinga flani na kuacha watu wananitazama
“ kwamba watu watadhani unapaaa”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…