Medical Students are not Creative than engineering students?

hapana kaka kuna maengieer hasa wa udsm nawajua vizuri wanameza tu ...they are not creative kabisa yaaan wanameza turn.
Hawatafanikiwa kuwa mainjinia wazuri katika fani zao
 
After the completion of creation, God left the work of creation to engineers for them to continue with his work!




BBC Swahili
Vinasaba DNA vya wanyama aina ya Tasmanian devil, vyaonyesha ishara za kudhibiti saratani http://bbc.in/
2ceigV8
Vinasab
 
Hoja yangu ya msingi ni kuwa haitoshi kuwa daktari au mhandisi ukawa mbunifu. Ubunifu upo kila sector.
Awali kuhusu kugundua tiba na vifaa, ni kweli wapo wataalam wengine lakini madaktari ni leading.
Hawasomi genetic engineering lakini wanasoma biomakers.
Wazo langu ni kuwa ni rahisi kugundua kitu kutokana na mahitaji na hii ndo inawafanya wawe leading kwenye ubunifu sector ya afya coz elimu ya udaktari inamhusisha karibu kila sehemu ya afya.
Na hata MRI inventor ni physician hao magnetic engineer wanaboresha. Msome Raymond Damadian
 
Jamaa kasoma engeneering kamaliza sahivi anasoma medicine ukitoka apo kapige biashara ili uwe msomi mahiri bongoland
 
ISLETS Umeamua kuongopa hadharani ndugu yangu!! naomba unitake radhi Mkuu!!
bora uendelee kuchangia mada husika, Islets sina maneno mengi, nikisema machache ujumbe umefika inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…