Medical Stores Department (MSD)

Medical Stores Department (MSD)

genuine1

Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
57
Reaction score
12
Wakuu habari ya muda huu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua hawa jamaa huwa wana ajiri vipi?
 
Hawa huwa wanatangaza kazi kama kawaida ila ukipata kazi apo inabidi ukatambike ila wanalipa vizuri sana.Hapa kama huna wa kukushika mkono bora utafute kazi kwingine otherwise utapoteza muda waku bure.
 
Duuu! Haya Mkuu maana kuna kijana kapata hapo kila nikimuuliza mchakato uliendaje ili nami nifanye mpango anabaki ananipiga chenga mwanzo mwisho wakati tugraduate pa1

'Ewe mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tusaidie vijana tusio na ajira'
 
hawa jamaa huwa wanatumia recruitment agent kuajiri wanaitwa manpower tanzania(kenya company)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom