Dr Antony Tairo MD
Member
- Apr 20, 2017
- 72
- 16
Tunazo items nyingi zaidi. Hapo tumeepuka kuandika uzi mrefu.Mna hizo items mlizotaja tu au kuna vingine ?
Full Package kwa medical students ni 170,000/= TZS na 185,000/= TZS doctorsFull package bei gan
Mkuu wizi gani tena?Weka bei acha wizi
MRDT ni 35,000/= zipo 25pcs plus reagent yake.Je naweza pata mrdt na bei gani?
HIV self text bei gani?
Una kifaa cha kujua uchafu wa mkojo? Disposable?
Hello... littmann stethoscope ni 110,000/= TZSLitman stereoscope unauza bei gani?
+255735847464Hello... littmann stethoscope ni 110,000/= TZS
Tupo: ndani ya chuo kikuu Muhimbili
Karibu sana sana