Si ukanunue Digital TV upate za kibongo tu free?Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na receiver version gani ipo vizuri. Naonba kuwasilisha. Asanten
mkuu habari. nna dekoda ya abudhabi naweza kupata channel gani?kariakoo jengo la simba kuna uchochoro unazunguka kwa nyuma utakuta maduka kibao ya madishi, bei nilinunua 80,000 mimi, lakini ufahamu mediacom kampuni imeuzwa kwa wachina, hivyo hakuna tofauti kati yake na michina mengine.
ni model gani? unaweza cheki nyuma au chinimkuu habari. nna dekoda ya abudhabi naweza kupata channel gani?
HUMAX IR2020HDni model gani? unaweza cheki nyuma au chini
nimecheki specs zake inatakiwa ikubali almost chanell zote za fta zinazoshika huku. umeshawahi kuijaribu? una king'amuzi cha dishi hapo kwako au kwa jirani kama azam tv?HUMAX IR2020HD
nina azam tvnimecheki specs zake inatakiwa ikubali almost chanell zote za fta zinazoshika huku. umeshawahi kuijaribu? una king'amuzi cha dishi hapo kwako au kwa jirani kama azam tv?
Mmh hivi FTA bado zipo na zinauzwa na kutumika?Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na receiver version gani ipo vizuri. Naonba kuwasilisha. Asanten
jaribu kuchomeka waya unaoingia kwenye azam kwenye hio abu dhabi halafu search chanell kama azam xtra au zile fta za azam kama emanule tv, Afroca tv na muvi tv ikikubali basi ipo fresh,nina azam tv
okjaribu kuchomeka waya unaoingia kwenye azam kwenye hio abu dhabi halafu search chanell kama azam xtra au zile fta za azam kama emanule tv, Afroca tv na muvi tv ikikubali basi ipo fresh,
naziona zote kwa pamoja BADR 6 hio CNN na National Geographic sema kwa mbele ina neno abudhabi sasa sijui ni ya kiarabu au kingereza. cheki zaidi hapaok
satellite gani naweza kupata natgeo, cnn
sio lazima mediacom boss, nunua rcv yoyote ambayo ni mpg4 utaweza kupata chanel kibaoHabari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na receiver version gani ipo vizuri. Naonba kuwasilisha. Asanten
Ok asante
arabsat ni satelite gani? si ndio hio? naona watu wengi wanaeka na madish makubwaHivi kwani channels za satellite ya Badr zinapatikana hapa Tanzania???