Media nyingi za online hazina weledi

Media nyingi za online hazina weledi

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
17,175
Reaction score
19,841
Hivi hizi online media nani anazi-regulate? Nyingi zinaandika upumbavu! Hebu fikri Hutu mwandishi anayejua mpaka leo kwamba kocha wa Yanga ni Nasredine Nabi anajitambua Hutu? Yaani mpaka ameondoka Gamondi yeye alikuwa hana habari amekuja Ramovic (the Germany Machine) yeye hana habari. Kazi ipo!

Screenshot_20241204-074119_Opera News.jpg
 
Mbona huko vijijini wanajua kuwa bado Nyerere ni Rais.
 
usisubutu kukutwa tena wengine wana majina makubwa kabisa ila wanachoandika ni upupu mtupu, ndio madhara ya kujianya ujuaji kila mtu mwandishi wa habari sikuhizi.
 
Hizi Online Tv ni kama zimeruhusiwa kuandika habari za michezo kihovyo hovyo na kiuongo uongo!!
 
Back
Top Bottom