Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,604
- 4,259
Mabaya yake tutaandika Sana Tu. ILA yeye akiwa na shughuli hatutairipoti na akija na taarifa hatutaisambaza. Ndiyo maana yake. Haimaanishi tutaacha kumtaja. Mvamizi atukere namna hiyo tuache hata kuendelea kumlaani? SI tutakuwa tumemsaidia?Wahariri walikubaliana kutoandika chochote kuhusu Makonda iwe kwa baya ama zuri....Ndio maana humu JF wakaharamisha jina la Makonda, Bashite na Daudi.
Walivyogundua uamuzi wao unampa unafuu Makonda wakageuka eti wataandika mabaya tu ya Makonda....
Hapo utagundua vyombo vyetu vya habari vinatumika tu.
Mimi napendekeza msiandike wala kuripoti chochote kuhusu Makonda iwe kwa jema au baya.
Tutamwandika. Ila hatutaripoti shughuli zake.