Media Kususia Habari za CHADEMA: Chanzo ni Mbowe!

Status
Not open for further replies.
Wewe unaona kauli hiyo tu ya MBOWE ndio inaashiria kuchafua amani ya nchi?/?///? Watu walisema KATIBA isipopita wataingia MSITUNI mbona hukuja hapa kusema ile kauli ni ya kuchafua Amani ya nchi????/?? ACHA MAHABA YASIO NA MAANA BHANA..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wacha kupotosha. Hakuna WATU waliosema wataingia msituni, alisema mtu kama yeye binafsi ataingia mstuni. hakusemea watu.
 
Acha uzushi mbona leo magazeti yote yameandika habari za chadema acha unafiki wko wadanganye wajinga wenzio.
 
Tetty,

Nafahamu wewe ni mpenda haki na daima una simamia ukweli. Kama una amini rais Kikwete atajiongezea muda, kwa sababu yoyote ile, basi nikutoe tu hofu kuwa hilo haliwezekani kwa rais wetu.

Pamoja na kwamba Kikwete ana mapungufu ya hapa na pale kama binadamu, lakini kuvunja katiba ambayo aliapa kuilinda, sio miongoni mwa mapungufu yake huyo mheshimiwa.

Turudi kwa Mbowe, tatizo kubwa alilonalo Mbowe ni 'insecurity'. Mbowe ana tatizo la kutojiamini na kila mara anaonekana ni mtu mwenye guilty consciousness hivi kutokana na alichofanya huko CHADEMA kwenye katiba ya chama.

Yeye Mbowe tunafahamu kuwa alivunja katiba ya chama kinyemela ili aendelee kuwa nwenyekiti. Kufanya hivyo kunamfanya adhani kila binadamu ana uwezo wa kufanya dhambi kama yake. Lakini sio kweli, tupo wenye kuogopa dhambi.

Rais Kikwete ni miongoni mwa waoga wa kufanya dhambi, hawezi kufanya dhambi ya kuvunja katiba na ndio maana serikali inajitahidi kwa kila hali kuhakikisha zoezi la uandikishaji linafanywa kwa viwango, usahihi na uharaka wake.

Tuwe na imani.

Hammy-D,nitakukumbusha kidogo tu,Katiba yetu ilianza kuvunjwa mwaka 2010 baada tu ya kuingia madarakani,baada ya Zanzibar kufanywa Nchi,wakati Katiba ya Muungano inasema Zanzibar ni sehemu ya Muungano.Rudi nyuma kwenye informations alizotoa Warioba,na amekuja tena amevunja Katiba akijua wazi haruhusiwi kutangaza siku ya kufanyika kura ya maoni lakini ameitangaza wakati tunajua kisheria nani anatakiwa kutaja siku ya kuipigia kura.

Rais wetu siyo mwoga wakutenda maovu,ameyakumbatia maovu,kumbuka alivyoongea kwa kujiamini sakakta la Escrow huku akijua wazi si sahihi.

Rais wetu alitakiwa awe NEUTRAL yeye pamoja na serikali kwenye issue ya Katiba ya Chenge,lakini ndiyo amekuwa mnadishaji mzuri wa Katiba ya Chenge akijua wazi ni kosa kwani katiba yenyewe imejengwa kwenye mizengwe na wala KURA zenyewe hazikutosha lakini zikatoshelezwa kwa ubabe,hakujali Katiba kuvunjwa.

Hivyo usimtetee hata kidogo,alikuwa wapi kuiagiza serikali kutoa pesa haraka kwa ajili ya BVR kits?Alikuwa wapi kukemea kukataliwa kwa donation iliyokuwa itolewe na serikali ya Sweden ya kutoa BVR kits 15,000?

Alikuwa wapi kukemea udhalilishaji wa Taifa letu kwenda kuomba BVR kits kutoka Nigeria na Kenya.

Hamy-D,imefika wakati WATANZANIA lazima tuwe wakali kwa hawa viongozi wetu.Wanatakiwa kuwa chini yetu,na si juu yetu.Sisi ndiyo waajiri wao na wala wao siyo waajiri wetu.

Ndiyo maana Katiba ya Warioba ilitaka RAIA ndiyo awe MUAJIRI na si Kiongozi,leo akina Sitta na Chenge wametupeleka wapi?

Hivi inaingia akilini FISADI na MLA RUSHWA mkubwa Chenge ,mmempa Katiba aiandike,unategemea ataisaidia Nchi au tumbo lake ?Je,hatahakikisha hata akiwa hayuko madarakani leo basi asibugudhiwe wala kushtakiwa.

Hamy-D,ona Madawa ya kulevya yalivyomengi ni kama yamehalalishwa rasmi,rais wetu anaishia kucheka majukwaani,na kutoa maelezo kuwa anawajua drug lords,lakini amewafanya nini?

Ndiyo wachangiaji wakubwa wa chama chetu CCM.

Kuwa makini ,weka TAIFA kwanza vyama baadaye!!!!!!!Alichokisema Mbowe ni sahihi,kosa lake ni kutumia LUGHA kali,kumbuka WATANZANIA wengi wameichoka serikali hii DHAIFU,iliyojaa RUSHWA,UFISADI,WIZI wa MALI za UMMA,wakati wezi wa kuku na pipi wakilambishwa miaka mingi jela wale wa mamilioni wapo nje wakila walichovuna kwa wizi.

UTAWALA uliomkosea hata MUNGU,leo viongozi wa dini wakikemea mnakuja mbio kusema eti ACHENI SIASA,basi na sisi inaidi tuwaambie tumeuchoka wizi wao,nao imefika muda MUAFAKA waache SIASA,wawajibike,wafanye kazi.Tumechoka na SIASA za majukwaani.

Pole Hamy-D,ukweli unauma sana na tena mchungu.................:A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
 
Hii nchi ina watu wa hovyo sana anayehatarisha amani ni serikali yenyewe sio mbowe wana nini mbowe hana majeshi, hana silaha , lakini ukiona mchawi anasema kalogwa ujue keeshaa.

Anayesema TUTAWASHA MOTO ni Mbowe sio serikali. Yeye ndiye anayejua anaandaaje kuni na viberiti vya kuwashia huo moto. Amani haihatarishwi kwa bunduki na fisasi tu hata kujenga hofu unahatarisha amani
 
Sasa kama alisema yeye kama mtu mmoja na kisha KUPIGIWA MAKOFI YA KUTOSHA,hiyo inamaanisha kuwa alikuwa anasapotiwa na watu wengi toka upande wake,wewe unavyofikiria mtu akisema anaingia msituni,unadhani atakuwa yuko peke yake?/? Tafakari kwa kina...!!!!

Wacha kupotosha. Hakuna WATU waliosema wataingia msituni, alisema mtu kama yeye binafsi ataingia mstuni. hakusemea watu.
 
Anayesema TUTAWASHA MOTO ni Mbowe sio serikali. Yeye ndiye anayejua anaandaaje kuni na viberiti vya kuwashia huo moto. Amani haihatarishwi kwa bunduki na fisasi tu hata kujenga hofu unahatarisha amani

Wacha kujitoa ufahamu hakuna kitu kibaya kama woga na kwa mtu makini na mwelewa aliyeisikiliza ile hotuba atakuwa ameelewa maana lakini kwa vile huku ni manamba ya 1+1=3 siwashangai.
 
WanaJF,

Kufuatia kauli za uchochezi na zenye viashiria vya kuvunja amani yetu zilizotolewa na Mbowe, wadau mbalimbali wa vyombo vya habari wamedhamilia kufanya maamuzi magumu kwa lengo la kuilinda amani ya nchi hasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Wamiliki wa Media nchini (hasa TV) wamefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa idara ya habari (Maelezo) na kukubaliana kuwa makini pindi wanaporusha habari za wanasiasa kwani zinaweza kuhatarisha amani ya nchi!

Aidha, wawakilishi wa wamiliki wa vyombo vya habari walikubaliana kwa kuwa CHADEMA kimekuwa kinara wa kutoa kauli za uchochezi na zenye viashiria vya machafuko, wameona ni vyema kususia kushirikiana nao ili kulinda amani ya nchi.

Kauli ya Mbowe ni muendelezo wa kauli nyingi zilizowahi kutolewa na viongozi wa CHADEMA huku zote zikiwa na chembechembe za umwagaji damu wa raia wema wa Tanzania.

Mfano Dr Slaa aliwahi kusema "Nchi hii haitatawalika"; Pia alisema, "Ikulu tutaingia hata ikibidi kwa kumwaga damu". Na ni ukweli mpaka sasa ana damu za watu wengi mikononi mwake!

"Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto" by Mbowe. Kauli hii ndio iliyomponza Mbowe na CHADEMA kwa ujumla.

Wewe sio mzima kichwani...
 
Nilisikiliza hiyo hotuba;
Mbowe aliongea kwa uchungu uliopitiliza;
Laiti cdm wangepewa meno huenda tz ingetawalika.

Mtani bwana,na wewe wala hautabiriki.Niambie uko wapi sasa?Ila kwa jana Mbowe amesema UKWELI japo mchungu............
 
WanaJF,

Kufuatia kauli za uchochezi na zenye viashiria vya kuvunja amani yetu zilizotolewa na Mbowe, wadau mbalimbali wa vyombo vya habari wamedhamilia kufanya maamuzi magumu kwa lengo la kuilinda amani ya nchi hasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Wamiliki wa Media nchini (hasa TV) wamefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa idara ya habari (Maelezo) na kukubaliana kuwa makini pindi wanaporusha habari za wanasiasa kwani zinaweza kuhatarisha amani ya nchi!

Aidha, wawakilishi wa wamiliki wa vyombo vya habari walikubaliana kwa kuwa CHADEMA kimekuwa kinara wa kutoa kauli za uchochezi na zenye viashiria vya machafuko, wameona ni vyema kususia kushirikiana nao ili kulinda amani ya nchi.

Kauli ya Mbowe ni muendelezo wa kauli nyingi zilizowahi kutolewa na viongozi wa CHADEMA huku zote zikiwa na chembechembe za umwagaji damu wa raia wema wa Tanzania.

Mfano Dr Slaa aliwahi kusema "Nchi hii haitatawalika"; Pia alisema, "Ikulu tutaingia hata ikibidi kwa kumwaga damu". Na ni ukweli mpaka sasa ana damu za watu wengi mikononi mwake!

"Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto" by Mbowe. Kauli hii ndio iliyomponza Mbowe na CHADEMA kwa ujumla.

Hao watakuwa TBC
 
Huo moto atauwashia hukohuko tengeru,ni lazima watu wajifunze kufuata kanuni na sheria otherwise Kova huwa anafanya mambo yake,amuulize Lipumba alichofanyiwa
 
WanaJF,

Kufuatia kauli za uchochezi na zenye viashiria vya kuvunja amani yetu zilizotolewa na Mbowe, wadau mbalimbali wa vyombo vya habari wamedhamilia kufanya maamuzi magumu kwa lengo la kuilinda amani ya nchi hasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Wamiliki wa Media nchini (hasa TV) wamefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa idara ya habari (Maelezo) na kukubaliana kuwa makini pindi wanaporusha habari za wanasiasa kwani zinaweza kuhatarisha amani ya nchi!

Aidha, wawakilishi wa wamiliki wa vyombo vya habari walikubaliana kwa kuwa CHADEMA kimekuwa kinara wa kutoa kauli za uchochezi na zenye viashiria vya machafuko, wameona ni vyema kususia kushirikiana nao ili kulinda amani ya nchi.

Kauli ya Mbowe ni muendelezo wa kauli nyingi zilizowahi kutolewa na viongozi wa CHADEMA huku zote zikiwa na chembechembe za umwagaji damu wa raia wema wa Tanzania.

Mfano Dr Slaa aliwahi kusema "Nchi hii haitatawalika"; Pia alisema, "Ikulu tutaingia hata ikibidi kwa kumwaga damu". Na ni ukweli mpaka sasa ana damu za watu wengi mikononi mwake!

"Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto" by Mbowe. Kauli hii ndio iliyomponza Mbowe na CHADEMA kwa ujumla.
Acha kupotosha watu wewe kwani kusema nchi itawaka moto uchaguzi ukisogezwa mbele ndio kauli ya uchochezi?mbona mnapenda kutisha watu?kama ni kuacha kuandika habari za chadema acheni na uone kama kutakuwa na madhara ndani ya chadema.uzuri watu wengi wameshakuwa na uelewa mkubwa kuhusu demokrasia.hiyo ni mbinu ya ccm kutisha wananchi na hatudanganyiko.Dr.slaa ndani ya ikulu november mwaka huu kama ulikuwa hujui
 
mtoa mada sijui kazeka yuleee!sijui kala maharage ya wapi yuleee! amekua kama mtoto mdogooo! nilikua namueshimuuuu! sasa simueshimu tenaaaa nasema kwenda zako mzee! ishia zako mzee! wiyi wiyi wiyi sasa moyo umetulia! tunaweza kuendelea sasa kuchangia.
 
Mbowe ni mwanasiasa kanjanja.Huwa hana uwezo mkubwa wa tafakuri kutokana na upeo wake kuwa mdogo sana. Huwa anaongea tu bila kujua madhara ya sasa na baadaye yatokanayo na kauli zake.Nashauri CHADEMA wamtafutie mshauri ambaye ni msomi.
Sasa kama ni kanjanja kawezaje kuifanya CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani nchini? Kawezaje kukifanya chama kuwa na mvuto kwa wana siasa mbalimbali mfano Tundu Lissu, Prof Safari, Alphonsi Mawazo, Mabere Malando, Mpendazoe, Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni (2005-2010) Bw. Lwakatare na wengine wengi. Au kwako tafsiri ya ukanjanja ni nini? Kama ukanjanja wa Mbowe ni kuokoa rasilimali za nchi na kuwainua WATZ basi acha na awe.
 
ccm wasipong'oka 2015 ntamwaga damu nyingi zaidi ya ajari zinavyomwaga damu kwani bei gani mbona mwangosi alishaenda na watu mnaona poa tuu kauli ya mbowe inawauuuma
 
Mkuu umeongea ukweli,tatizo la Mbowe kubadili Katiba ya chadema kutawala milele basi anafikiri Kikwete atfanya hivyo,Watanzania wa sasa tunampuuza mtu anayetaka kuvuruga amani ya nchi yetu

Jitu zima likigeuka benders fata upepo linachekesha kweli
 
WanaJF,

Kufuatia kauli za uchochezi na zenye viashiria vya kuvunja amani yetu zilizotolewa na Mbowe, wadau mbalimbali wa vyombo vya habari wamedhamilia kufanya maamuzi magumu kwa lengo la kuilinda amani ya nchi hasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Wamiliki wa Media nchini (hasa TV) wamefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa idara ya habari (Maelezo) na kukubaliana kuwa makini pindi wanaporusha habari za wanasiasa kwani zinaweza kuhatarisha amani ya nchi!

Aidha, wawakilishi wa wamiliki wa vyombo vya habari walikubaliana kwa kuwa CHADEMA kimekuwa kinara wa kutoa kauli za uchochezi na zenye viashiria vya machafuko, wameona ni vyema kususia kushirikiana nao ili kulinda amani ya nchi.

Kauli ya Mbowe ni muendelezo wa kauli nyingi zilizowahi kutolewa na viongozi wa CHADEMA huku zote zikiwa na chembechembe za umwagaji damu wa raia wema wa Tanzania.

Mfano Dr Slaa aliwahi kusema "Nchi hii haitatawalika"; Pia alisema, "Ikulu tutaingia hata ikibidi kwa kumwaga damu". Na ni ukweli mpaka sasa ana damu za watu wengi mikononi mwake!

"Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto" by Mbowe. Kauli hii ndio iliyomponza Mbowe na CHADEMA kwa ujumla.

Toa ubeya hapa... bi chaubeya... Mwananchi wameandika na ndiyo ukweli... Hakuna kusogeza uchaguzi mbele uzembe wenu usiliangamize taifa na hatuta kubali ndiyo ukweli.. Kauli ya Mkt ni kauli yetu Chadema na Watanzania wote.
 
Wewe unaona kauli hiyo tu ya MBOWE ndio inaashiria kuchafua amani ya nchi?/?///? Watu walisema KATIBA isipopita wataingia MSITUNI mbona hukuja hapa kusema ile kauli ni ya kuchafua Amani ya nchi????/?? ACHA MAHABA YASIO NA MAANA BHANA..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Msamehe tu huyo alibemendwa utotoni
 
Acha kupotosha umma
Wasipoandika habari za Chadema uzuri wataandika habari zangu kuhusu mama yako anavyonibembeleza kila siku nimtunzie penzi lake huku niliko mbali nae
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom