Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

Hongera mkuu wa mkoa kwa kuwapasha ukweli hao wananchi wasiojitambua. Wanaotumiwa kisiasa.
 
Hongera mkuu wa mkoa kwa kuwapasha ukweli hao wananchi wasiojitambua. Wanaotumiwa kisiasa.

Kama wewe unavyotumiwa,hongera sana mkuu endeleza fikra mgando. Yani watu wanashida wewe unawakebehi kweli binadamu wote sio sawa
 
Viongozi wetu Ni kama wendawazimu wote. Huyu naye kaibukia wapi, anashidwa hata kuzibiti wezi wa vipuri vya magari anaenda kuibukia kwenye maji!! Kweli hawa Viongozi wetu kazi tunayo. Tanzania Ni nchi ya maajabu sana
is one of the hopeless RCs
 
Ukishakuwa kada wa ccm lazima fuse kadhaa zikatike kichwani mwako.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
viongozi wetu hawana akili ya uongozi.!
 
Tatizo la maji serikali inalitambua, linafanyiwa kazi. Maandamano ya kazi gani?.
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu

hivi hata hili la maji nalo ni la kubishia?watu hawana umeme,hawana maji,wewe unaleta mambo ya siasa?unajua adha tunayoipata watu wa dar hivi sasa mshenzi wewe?Hapa nilipo naandika msg hii niko gizani ngozi inaniwasha kwa maji ya kisima niliyooga halafu wewe....nina neno moja kwako, F...CK YOU BLOOD BA....RD!kama mbwai na iwe mbwai.kwa hali hii tutapigwa ban wengi!mods mnisamehe huyu mjinga anatuprovoke raia wema hapa!pumbavu wewe!kwa hali hii jamiiforums itakosa mvuto maana mtu unaingia kwa shangwe unatoka na hasira!mss!
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu
Na Magamba yalivyo strict nanyi!!!!!!!
Yamefungia ile Radio yenu ya Morogoro, Na nasikia yana Mpango wa Kuyafungia Magazeti yenu, Alnuur likiwa Moja wapo.
Mbaya Kabisa yana Mpango wa Kumpelekea shekh wenu Ponda jela Miaka 17.
Na yanamsaka Shekh Kondo
Mtakomaje mwaka huu
 
Mnyika uache kuwapotezea muda wa uzalishaji mali wafuasi wako,suala la maji Ubungo serikali inalifanyia kazi pia RC kapiga marufuku maandamano
 
Natamani siku moja kila mmoja wetu avae nguo za kazini kwake na tuandamane nchi nzima,koz matatizo nchi hii yapo kila sekta
 
Uislam na maji ni damu damu,we acha kuandamana hafu sijui msikitini utakuwa unachinja watu damu ndo unaenda kutawaza msikitini. Watu wenye elimu zao zito na mdee wanapeta tu hawawajali nyie mburura kazi kuhubiri udini tu kwenye nchi isiyo na dini. Watu kama nyie mngehamia SaudiArabia
 
Mnyika uache kuwapotezea muda wa uzalishaji mali wafuasi wako,suala la maji Ubungo serikali inalifanyia kazi pia RC kapiga marufuku maandamano

muda mwingi tunaupoteza kwa sababu hatuna umeme na shughuli nyingi za uzalishaji mali zimesimama.ofisini hamna umeme,nyumbani hamna maji!nani anayetupotezea muda wananchi hapo kati ya serikali iliyosimamisha shughuli zetu na Mnyika anayetuambia tuandamane kudai vitu vinavyofanya shughuli zetu ziendelee?nahisi members wengi wa JF mnaishi uswisi,canada,U.K,U.S n.k
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu

Nilisikia kuwa puff moja ya bangi inachukua miaka saba kuisha sasa wewe mwenzetu uliyeanza kuvuta miaka kumi iliyopita sijui hiyo bangi itaisha lini...? Ni mtazamo tu!
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu

mmh ubaguzi utaendelea mbaka kwenye familia yako pie usiitumie dini ya Allah vipaya.
 
Mnyika uache kuwapotezea muda wa uzalishaji mali wafuasi wako,suala la maji Ubungo serikali inalifanyia kazi pia RC kapiga marufuku maandamano

FastJet kila siku kiguu na njia. Ni muda upi anazalisha mali? Kadhalilisha ile post kiasi kwamba hata wenda wazimu wameanza ku-apply!!!!
 
Ila hii serikali yetu wameruhusu kuandamana ila maji hayatoki
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu

yamekuja vip maandamano ya maji na udini? acha izo mambo
 
Back
Top Bottom