Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

Mi nakwambia Tanzania tunongozwa na viongozi bandia hata kufikiri maji yalivyo muhimu nayo ni ushbiki kwa vile Mnyika kawan'gan'gania watafurahi....
 
Mpaka 2015 tutakoma hakuna rangi tutaacha ona.Jamani viongozi watuonee huruma sisi wananchi wakawaida tusioshabikia chama chochote kwani maji ni uhai na sio chama wala uongozi
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu

wa wapi wewe? Watu wanajadili ya maji we unaleta udini.
Ndi maana tunasimangwa kila siku ya kwamba hatujasoma
 
Back
Top Bottom