Mechi za Simba kimataifa mashabiki waliovaa njano wasiingie

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Hawa wenzetu wamekuwa na vurugu na kuzomea badala ya support ,wamekuwa washamba sana kwenye soka na kusababisha vurugu .

Mechi za simba za kimataifa hapa nyumbani watangaze kwamba huingii uwanjani ukivaa njano au kijani.

Na watangaze kabisa kabla ya kuuza tickets ili simba tushabikie timu yetu vizuri siyo vyura wanakuja wanaanza kushabikia wageni bila kuwa wazalendo
 
Hapana waruhusiwe na jezi zao ila wapewe onyo kali,mashabiki wa uto bado ni washamba Club yao inapaswa kuwapa elimu hawa viumbe wajue kabisa Simba na Yanga ni watani wa jadi.
 
tatizo ni nguo walizovaa au fujo zinazofanyika? kwahio wanaovaa nyekundu wakifanya fujo ni sawa....., Dawa ni kutibu tatizo na tatizo ni fujo..., ila kuzomea sio fujo unataka ushangiliwe tu?
 
Waje tu, hawa ni wa kuwahurumia, miaka 3 bila kikombe chochote plus msimu uliopita simba kunyakua vikombe vyote hadi vya wanawake sio mchezo, wana hasira na vingi ni wa kusamehewa na kupuuzwa tu
 
Hawa wenzetu wamekuwa na vurugu na kuzomea badala ya support ,wamekuwa washamba sana kwenye soka na kusababisha vurugu .

Mechi za simba za kimataifa hapa nyumbani watangaze kwamba huingii uwanjani ukivaa njano au kijani.

Na watangaze kabisa kabla ya kuuza tickets ili simba tushabikie timu yetu vizuri siyo vyura wanakuja wanaanza kushabikia wageni bila kuwa wazalendo
Waacheni vyura fc jamani wana stress ujue
 
Kwanza unaanzaje kuvaa jezi ya timu nyengine mfano Simba halafu unaenda kukaa kwenye jukwaa la mashabiki wa Yanga wenye mechi yao kizembe zembe..... Kuna watu vipigo mnavitaka wenyewe.
Hawa mbwa si wanajitoa ufahamu.... Waache waendelee kujichanganya waone tunavyowanyofoa koromeo hizo mbwa hawa
 
yaani uwanja wa mkapa tutakuja kuwazomea tuu mtake mistake, ukizingatia sisi wananchi ndiyo wengi mara3 zaidi yenu nyie waarabu, washirazi na wahindi
 
Kwanza unaanzaje kuvaa jezi ya timu nyengine mfano Simba halafu unaenda kukaa kwenye jukwaa la mashabiki wa Yanga wenye mechi yao kizembe zembe..... Kuna watu vipigo mnavitaka wenyewe.
Yanga hana jukwaa la mashabiki wala uwanja wake ..... Tengenezi uwanja wenu muweke limit watu wenye nguo nyekundu wasiwe wanaingia kwenye uwanja wenu
 
Waachiwe tu waingie na sidiria zao maana mwisho wa game wanajua wanapozificha ..
 
Hawa wenzetu wamekuwa na vurugu na kuzomea badala ya support ,wamekuwa washamba sana kwenye soka na kusababisha vurugu .

Mechi za simba za kimataifa hapa nyumbani watangaze kwamba huingii uwanjani ukivaa njano au kijani.

Na watangaze kabisa kabla ya kuuza tickets ili simba tushabikie timu yetu vizuri siyo vyura wanakuja wanaanza kushabikia wageni bila kuwa wazalendo
Simba jengeni uwanja wenu, jezi tunavaa vizuri tu, tutaongezea za timu pinzani. Unajifanya kusahau mashabiki wa Simba kushabikia timu pinzani wakati Yanga akiwa na mechi za kimataifa?? Mjiandae kupambana na hali yenu, sema uzuri mmoja mnaweza kutolewa round ya kwanza kama msimu uliopita.
 
waache waingie tuwape kipondo maana wana stree hawashiriki michuano ya kimataifa wanataka Tanzania tufungiwe ili tuwe sawa nao, wasikanyage mechi zetu manyani wakubwa
 
Back
Top Bottom