Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,975
Wakuu mimi nimepita tu mara moja mtaa huu. Endeleeni kumpa ushauri Kiranja Mkuu, naona mnatiririka tu hapa!!
Ushapigwa kitu mkuu!
ukome na videmu vyako vya mtaani.
kapige lamuli
umejaribu kubadili kiwanja......? hebu mpeleke mkeo kiwanja unachocheza na nyumba ndogo......
(ningekuwa na uwezo ningechinja wanaume wote huku duniani)
Ushatengenezwa!
bado kugandiana tu..endelea kuhangaika tutakuona kwenye magazeti
Ushawekewa password na mume mwenzio weyeeeee!!! Kimbia Muhoro-Rufiji fasta wakakutengeneze.
msimtie moyo, huyu kiranja mkuu.............. yaani ukweli kwamba kuna kitambaa cha shughuli kimefishwa mahali kila siku kinawashiwa mshumaa na kuzimwa.......... manina wallah!............. sasa hapo usipokomaa mkeo nae akianza kuzunguka utakuwa kweishney.........
haya ndo matokeo ya umalaya na utakoma mwaka huu.......kidogo utashangaa mchumba wa huyo demu anakupiga kitu ngoma limoto.........iyo usiku na mchana hailali unakazi ya kuumia tu........hahahaahaha! sasa jiulize uko susceptible kwa kulogwa na wangapi?? kisa uchi tu??
Sasa ni zamu ya mkeo kutoka nje!
usharogeka wewe
Last edited by a moderator: