Mechi za nje nacheza, kwa wife jogoo hawiki

Bora hapo tatizo lako unalijua mwenyewe! Unaweza kuji help mwenyewe!

What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa yangu ni kasheshe, mtarimbo unalala doro, ukiinuka ndani ya dakika moja nisha piga bao na hausimami tena, hadi next week.
Jamani najihisi kabisa simtendei haki mke wangu, je nifanye nini ili nae nimpe raha kama anayoipata demu wa uswazi?
 
Darasa limejaa, maadili hayaruhusu lol

uzi wowote unaweza kukaaa kiimya l;akini wakigusia tu kuingia darasani kwenu yani kama kuna kitu kinakupalia vile!ahahhahahhahahhahha bhaelezee bhana!darasa limejaa na si hatutaki kwenda kinyume na waraka wa elimu wenye maelekezo ya uwiano wa mwalimu na mwanafunzi uwe huu 1:3.
 
af mwali hivi leo umeingia darasani mpenzi?
mi nakwambia we ufeli huko af uje hapa na story!walahi sikuelewi!
 
uzi wowote unaweza kukaaa kiimya l;akini wakigusia tu kuingia darasani kwenu yani kama kuna kitu kinakupalia vile!ahahhahahhahahhahha bhaelezee bhana!darasa limejaa na si hatutaki kwenda kinyume na waraka wa elimu wenye maelekezo ya uwiano wa mwalimu na mwanafunzi uwe huu 1:3.

Asante mwalimu snowhite kwa kuelewa lol

Mi sina mambo ya kuremba inapokuwa ishu ya kimaslahi aisse
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom