Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,252
- 18,448
Mbona uwanja uko tupu? Watanzania hawana uzalendo kabisa!!
Mbona uwanja uko tupu? Watanzania hawana uzalendo kabisa!!
Mkuu, unaweza kuweka 'line up' ya timu zote mbili?Leo kuna kituko uwanja wa taifa. Kabla ya mechi ya stars kuna masheikh na maaskofu wametengeneza timu mbili AMANI na MSHIKAMANO. Fourth official ni said meck sadic. Yuko malasusa na viongozi wengine wa dini. Nivituko vitupu . Watu na vitambi wandondoka. Timu ya mshikamano wamekosa penat.