Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,741
Leo kuna kituko uwanja wa taifa. Kabla ya mechi ya stars kuna masheikh na maaskofu wametengeneza timu mbili AMANI na MSHIKAMANO. Fourth official ni said meck sadic. Yuko malasusa na viongozi wengine wa dini. Nivituko vitupu . Watu na vitambi wandondoka. Timu ya mshikamano wamekosa penat.