Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Hawa jamaa wanacheza mpira wa kitabun, sie tunajiendea tu ka manyumbu
 
Ngapi ngapi huko

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tunisia wanakosa goli la wazi dakika ya 25' mpira unatoka mita chache golini, Tunisia tena dakika ya 27' wanagonga mwamba goli la Tanzania. Tunisia inaongoza goli 1 hapa Benjamin Mkapa kupitia
Saîf-Eddine Khaoui dakika ya 11'


. Aggregate goli 2 Tunisia inaongoza . Waarabu wanamiliki mipira kwa kiasi kikubwa Taifa Stars wanabaki kufukuza mpira wakisafa bila mafanikio . Hali ni mbaya kwetu Tanzania . Tazama live :
 
Tunisia wanakosa goli la wazi dakika ya 25 mpira unatoka mita chache golini, Tunisia tena dakika ya 27 wanagonga mwamba goli la Tanzania. Tunisia inaongoza goli 1 hapa Benjamin Mkapa . Aggregate goli 2 Tunisia inaongoza . Waarabu wanamiliki mipira kwa kiasi kikubwa Taifa Stars wanabaki kufukuza mpira wakisafa bila mafanikio . Hali ni mbaya kwetu Tanzania . Tazama live :
Mambo ya aggregate yanatokea wapi wakati hii ni hatua ya makundi nawala sio hatua ya mtoano.
 
Unaonekana kuyafurahia sana hayo matokeo!
Hapa tunapashana hali halisi ilivyo leo hapa Benjamin Mkapa. Jamaa wa Tunisia wametulia wanacheza kwa uhakika soka la kueleweka linalopendeza kuangalia. Tunatamani Taifa Stars nao wangekuwa wanatandaza kandanda la uhakika.

Turudi uwanjani Tanzania 0 - 1 Tunisia. Dakika 43' za mchezo zimeshakatika.

Aggregate Tanzania 0 - 2 Tunisia.
 
Jamaa wa Tunisia wanatunyanyasa kwa mpira safi wa uhakika hapa wanja wa nyumbani Dsm. Dakika 36 Tunisia 1. Aggregate Tunisia wanaongoza kwa goli 2 , kwa goli moja walilopata huko Tunisia.
Timu km hii unaingia na viungo wakutosha sio unatuwekea mkude na himdi

Mara mkude na fei
 
17 November 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Half time : Tanzania 0 : 1 Tunisia. Bao hilo dakika ya 11' mfungaji
Saîf-Eddine Khaoui.


Kocha Etienne Ndayiragije, anatoa tabasamu lenye hasira na kukata tamaa kwa kuona timu yake ya Taifa Stars ikicheza chini ya kiwango kipindi cha kwanza cha mechi ya leo 17 /11/ 2020 hapa uwanja wa nyumbani jijini Dar es Salaam.

Mapumziko tunaenda studio, tutarudi kipindi cha pili.
 
Jamaa wa Tunisia wanatunyanyasa kwa mpira safi wa uhakika hapa wanja wa nyumbani Dsm. Dakika 36 Tunisia 1. Aggregate Tunisia wanaongoza kwa goli 2 , kwa goli moja walilopata huko Tunisia.
mkuu hapa tupo makundi tunahesabu point tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom