Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Kila kitu kinawezekana ni kocha na wachezaji kizichanga karata zao vizuri, pia sijajua Tunisia na Eq G yupi atakua nyumbani, kama Tunisia atakua home pia inaweza kua advantage kwa stars
Haya mambo ya permutations waachieni wazee wa namba....hapa kwemye fabo tuangalia unashinda vipi nyumbani.

Kiufupi sie afcon bye bye guinea atatuacha salama hapo kwake maana yeye hiyo ndio final.
 
This coach have forward way to go but inahitaji miaka mingi
Utani huu sasa wee kocha lii timu halichezi kabisa....hapa way forward ni kwenda kumpigia magoti mzee mwinyi afute kauli yake ya kichwa cha mwendawazimu kabla hajafa mzee wa watu
 
BORA AMUNIKE,timu ya amunike ilikua inafika golini na shot on targrt walikua wanapiga

kwahiyo alizofungwa alikua anapanga yeye kikosi?thibitisha kama alikua anapangiwa kikosi
Yani mechi ulizowakuta ndani sonso na mwantika jua ni amunike
Ila ukikuta yondani,nyoni & agrey agrey na tshabalala jua kasaidiwa
 
Manula amemaliza ubishi nani ni Tanzania one, Nyoni ametuonyesha kuwa kocha wa Simba ni kilaza, pia mechi hiyo imeonyesha wachezaji wetu wengi wana safari ndefu kucheza soka ya kulipwa hawawezi hata kupiga pasi kumfikia mlengwa, wanapokuwa na mpira wanashindwa kufanya maamuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom