Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Tuwe wakweli hawa jamaa wametuacha mbali sana kisoka,wanagusa moja moja tu,sisi tunahangaika Sana.......tuache porojo mpira wetu upo chini sana
Kwani ndio mnajua leo?! TFF imejaa mikia...halafu mikia kazi yao kuvizia usajili wa Yanga...marefa wetu ndio hivyo Tena...kiongozi wa klabu ni mipasho tu...waandishi ushabiki mbele hakuna uchambuzi wa maana...mitandaoni humu mashabiki ni kutukanana tu...
 
Awa jamaa wametuzidi kila kitu kuanzia uwezo wa mchezaji mmojammoja mbaka team work yao, Wana Kimbia kuliko sisi Wana zuia kuliko sisi Wana uwezo wa kukaa na mpira kuliko sisi. Tempo ya mchezo Wana amua wao, waliamua kukimbiza wanakimbiza, wakiamua kupoza wanapoza. Tuombe Mungu tupate ata sare.
 
Tunisia ebu tandika hao nguruwe fc 3 bila ili wananchi kesho tuingie maofisin kwa raha mustarehe...
Juzi nilishangaa baada ya kuona WaTz wanashangilia kupigwa kimoja.....leo wanategemea matokea....kweli hatueleweki..........
 
Hata moroco wanatuzdi

Wenzetu wanatuacha wapi akina Madagascar

Kama vipi na sisi tuwaite magarasa yetu yanayocheza ulaya tujaribu labda watatoboa
 
Kwani ndio mnajua leo?! TFF imejaa mikia...halafu mikia kazi yao kuvizia usajili wa Yanga...marefa wetu ndio hivyo Tena...kiongozi wa klabu ni mipasho tu...waandishi ushabiki mbele hakuna uchambuzi wa maana...mitandaoni humu mashabiki ni kutukanana tu...

Yaani sie tantalila nyingi mpira hatujii basi shida tuu.
Na leo nadhani tutatia aibu pale ambapo tutashindwa pata ata shot on target moja.
 
Ssii tunadanganyana na haya mambo ya pira biriani sijui pira mpapaso.
Ona mafundi walivyo na composure on the ball hamna papara watu wanagusa kama wanacheza na marimba ya mzungu
Ukiangalia sisi wakipata mpira wanapagawa,kila mtu anapiga mbele tu kuondoa lawama
 
Kwani ndio mnajua leo?! TFF imejaa mikia...halafu mikia kazi yao kuvizia usajili wa Yanga...marefa wetu ndio hivyo Tena...kiongozi wa klabu ni mipasho tu...waandishi ushabiki mbele hakuna uchambuzi wa maana...mitandaoni humu mashabiki ni kutukanana tu...
😂😂festi hafu tungekula hata 3
 
Kipindi cha pili kinaanza hapa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam huku Tunisia wakiwa wanaongoza kwa bao 1 likilopatika dakika ya 11' ya mchezo wa leo 17.11.2020
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom