mechi ya marudiano hiyoo inakaribia,msaada wa haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mechi ya marudiano hiyoo inakaribia,msaada wa haraka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by admiral elect, Dec 31, 2011.

 1. a

  admiral elect Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za maandalizi ya mwaka mpya wakuu? Wakuu naomba masaada wenu wa mawazo na utalaalam ili nipate cha kumshauri jamaa yangu kwani mie yamenishinda na hata jamaa yangu kila nikimuuliza anasema I don’t know the next move! Kusema kweli jamaa hajaniomba ushauri rasmi ila limenishangaza sana hili na inaonekana jamaa kweli hajui cha kufanya na hivyo nimeona nijaribu kupata maoni yenu ili nipate base ya kumshauri rasmi jamaa yangu. Kinachosukuma zaidi ni kwamba kesho jioni kutakuwa na mechi ya marudiano hivyo nimeona nimshauri jamaa kabla ya kesho jioni.
  Kwa kifupi kabisa huyu jamaa yangu tulisoma naye shule moja primary ,A level na sasa chuo ila kozi tofauti. Jamaa alimpenda demu mmoja mzuri tu hapa chuo anayesoma naye kozi moja ila demu yuko nyuma mwaka mmoja. Kwa muono wangu pia, demu ni mzuri sana maana mambo yetu yale yako full na sidhani kama ni fake maana akina dada wengi wa mkoa ule huwa wamejaliwa hayo mambo .
  Kufanya stori iwe fupi, jamaa kamsotea demu huyo kwa muda kama wa miezi 7 hivi lakini katika vipindi 2 maana kuna kipindi alikata tama na baadae akarudisha tena majeshi mstari wa mbele. Kipindi cha kwanza ilikuwa no signal kabisa, lakini kipindi cha pili chanel ikakamata lakini kukawa na chenga nyingi kwani demu alikubali lakini akasema ana mashaka kama atadumu nae kwani yeye demu ana kasoro ambayo hakutaka kumwabia jamaa . jamaa baada ya kubembeleza aambiwe kasoro bila mafanikio, akaanza kuhisi kuwa labda demu anazo zote.
  Jamani, ni kweli mvumilivu hula mbivu na bandu bandu humaliza gogo. Jumamosi iliyopita demu akakubali mwaliko wa mechi ya kirafiki. Kwa jinsi jamaa alivyokuwa na mashaka akaniambia kila kitu,hadi uwanja wa mpambano na kuniomba nisizime simu na niwe standby maana hajui mambo yatakwendaje na akaniambia ikifika saa moja usiku kabla hajanipigia simu nimcheki ili kukomfirm kuwa yuko salama hivyo siku hiyo nikawa in emergence state hasa kuanzia majira ya saa kumi jioni ambapo mechi ilipangwa kuanza.
  Kwa mujibu wa jamaa kipindi cha kwanza mambo yakawa shwari kwani goli mbili za fasta na akanisms kuwa hakuna tatizo ingawa demu hajamueleza kasoro yenyewe na wala yeye hajaiona. Basi baada ya mapumziko, maongezi na chakula, kipindi cha pili kikaanza si unajua huwa kuna kubadilsha. Jamaa akaomba kale kastyle ketu, bila hiana demu akampa lakini akamuomba ampake mafuta fulani kwenye reactor,jamaa hakubisha basi baada ya kama kiki 4 hivi demu akaitoa ikulu kubwa na kuipeleka ikulu ndogo,jamaa akashituka na kusita demu akamwambia vipi ? si uliahidi utavumilia kasoro yangu ? basi jamaa ikabidi awe mpole mpaka kipindi chote cha pili na alifanikiwa kufunga magoli mawili tena.
  Baada ya mechi ikabidi jamaa amuulize demu kulikoni tena mambo hayo, demu akafunguka kuwa alikuwa na jamaa yake waliependana sana na huyo jamaa yake ndie aliyemuanzishia hako kamtindo na kuwa baada ya uhusiano wao kudumu mwaka na nusu hivi, waliachana lakini tayari yeye demu alishakuwa adicted na kuwa bila hiyo kitu kila mechi yeye hua anaona kama mazoezi tu.
  mambo nayoomba kujua ni :-
  1. kuwa jambo hili lina madhara yoyote ya kiafya kwa wote wawili ukiachilia ya kisaikolojia na kimaadili ?
  2. je kuna tiba ya kuwezesha mtu kuacha adiction hiyo ?mbali na ushauri nasaha ?
  wakuu, nawatakia kheri yamwaka 2012 na naomba kutoa hoja!

   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Story ndeeeeeeeeeeeefu utadhani mtihani ambao umekusudia kumchanganya mwanafunzi.

  Nwy nadhani iliwahi anzishwa thread hapa kuhusu madhara ya hayo mambo kama unaweza jaribu kutafuta.

  Kuacha hamna dawa, sio sigara hiyo.
  Kitu kinachoweza kumwezesha kuacha ni matakwa binafsi, akitaka kweli kuacha na akajitahidi kufanya hivyo atafanikiwa.Otherwise . . . . hivyo ndivyo alivyo!!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  milango ya uani itawatokea puani.

  Na huyo jamaa yako alipenda mchezo si angekataa? Mpaka kampaka mafuta huko alikua anataka
   
 4. a

  admiral elect Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole kama imekuchananya,lengo langu ilikua kutoa ufafanuzi wa kina ili mnapochangia muwe na picha kamili .kwa kweli mie sijui kutafuta zilizopita kama utanisaidia nitashukuru.ni kweli matakwa binafsi ndio dawa lakini naona kama jamaa anaanza kunogewa maana nilimpomuliza experience ya huko akajibu tu not bad! na pia nadhani anampenda sana huyu demu na ameanza pia kujenga hali ya kumuonea huruma kutokana na maongezi yake
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Jf kuna mambo jaman.
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  HATARI!! lakini salama.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama wote wanaonekana kufurahia we uko busy kutafuta antidote ya nini? Utamlazimisha rafiki yako aache au inakuwaje?

  Nwy ntakuangalizia baadae kidogo.
   
 8. L

  Luiz JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli sodoma na Gomola yakalibia.
   
 9. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aya bwana mi nasubiria Mwenyezi Mungu anisaidie nivuke mwaka
   
 10. a

  admiral elect Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok, nitashukuru,kinachonitia mashaka ni kuwa jamaa ni kama kachanganyikiwa vile yaani hajui cha kufanya,na isitoshe naona ni kama anaweza kuwa adicted halaf baade wakaachana akapata shida
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kwan we unadhan ni rafik yake kwel au muhucka ni ye mwenyewe?hapo kaulza kiujanja tu,ila mhucka ni yeye.
   
 12. a

  admiral elect Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli mkuu angekataa, lakini kumbuka ahadi ni deni na reactor ikishawachemka huwa haiwi controlled kirahisi hivyo
   
 13. a

  admiral elect Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwetu hiyo kitu mwiko kaka
   
 14. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Nimechoka na thread za kutunga si lazima kila mtu aweke thread yake hapa.ni mtazamo tu
   
 15. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mambo ya pwani yanichanganya. Vitu flani wanavyofanya.. Solo Thang.
   
 16. a

  admiral elect Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu hii si ya kutunga ni live lakini ni kweli inaonekana kama movie fulani hivi maana ni mambo ambayo hata mimi mwenyewe sikuwahi kuota achilia mbali kufikiria. naanza kuamini misemo kama vile ukistaajabu ya musa................. anyway msaada basi jioni haiko mbali
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  nani alipeleka hayo mafuta?
   
 18. a

  admiral elect Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni huyu dada aliyekuwa nayo,msaada basi jamani hakuna madokta na wazoefu humu?
   
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Napita ...

  Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he zali kama hizo hazinitokeagi miye...nikijaribu hata kupeleka kidole wanakuwa wakali balaa.....kiafya ni rahisi kuambukizana magonjwa especially hiv coz ni rahisi kusababisha michubuko huko nyuma.....tiba ni yeye mwenyewe kuamua kuacha kama vile mtu anavyoamua kuacha pombE.lazima awe amedhamiria asilimia 100
   
Loading...