bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Itakuwa simba kanunua mechi sio bure... au kuna mkono wa tff!! Yani sie yanga hata hatupendwiðŸ˜ðŸ˜
Mkuuu umelonga kweli, lia lia Fc aka wazee wa Malalamiko kwa kuisingizia simba wanapofungwa kawaida yao.Itakuwa simba kanunua mechi sio bure... au kuna mkono wa tff!! Yani sie yanga hata hatupendwiðŸ˜ðŸ˜
😀😀Thalatha ivi ndo goli tatu?![]()
Pacha Shadeeya hii tuihesabie kama zawadi yetu ya birthday e?😅😂😂😂
Don Clericuzio kwanini huu muujiza usitokee mkaloa vitatu kwa Everton?
Eti Yanga ni timu ya kwanza kufungwa baada ya Covid 19.
Everton hata haitaniuma, kile kipigo cha Watford ndo kilikuwa cha moto
Nimecheka sana,halafu sikujua kama leo wamecheza
Maumivu yatakuwepo japo kidogo
😂😂😂😂Hahaha, na-imagine Joti aseme "KMC wabayaaa!"
Pacha Shadeeya hii tuihesabie kama zawadi yetu ya birthday e?😅😂😂😂
Don Clericuzio kwanini huu muujiza usitokee mkaloa vitatu kwa Everton?
Yaani pacha Yanga waliifanya siku yangu ikavurugika mana nilichukia mbaya. 😔Pacha Shadeeya hii tuihesabie kama zawadi yetu ya birthday e?😅😂😂😂
Don Clericuzio kwanini huu muujiza usitokee mkaloa vitatu kwa Everton?