Mechi iliyooichezwa muda mrefu zaidi duniani

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,704
2,363
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI

Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI

kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivo hivo,

refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.

Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zngne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.

Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refaakawaomba wakate kombe nusu kwa nusu.

SIJAWAHI KUWADANGANYA,NDIYO NAANZA LEO...
 
Una hatari, cha ajabu refa yeye alikuwa haendi kula wala kupumzika
 
Hahahaha nimecheka sana uongo huo mzur

Tunashukuru kwa kutudanganya but umejitahidi kupangilia
 
Mimi nilidhani mechi hii ilipigwa uwanja wa sita kwa sita
 
Back
Top Bottom