Mechi ambazo Simba iliifunga Yanga ikiwa pungufu

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
tSpom2hnsforeed ยท
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu
Simba
๐Ÿ†š
yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba
๐Ÿ†š
yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba
๐Ÿ†š
yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba
๐Ÿ†š
yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
 
Hii Simba ya sasa ni bora sana mkuu. Kucheza nayo huku mko pungufu ni mateso makubwa. Pia inategemea kadi nyekundu imetolewa mda gani. Km mchezaji anapewa red card wakati tayari mnamatokeo mkononi ni rahisi kulinda ushindi. Au km card imetolewa dk za 80 ni rahisi vile vile kujilinda kwa hizo dk chake.

Ugumu ni pale mnapotakiwa kucheza dk 45 na zaidi na timu bora huku mkiwa pungufu. Maji mtaita mmaaa! Mtabana weee mwishoni mtaachia pumzi ikikata. Thats what happened yesterday.

Mwisho, hongera kwa ushindi mtani japo sikuona biriani zaidi ya butua butua tu!
 
Biriani utaiona wapi kwa uwanja ule?
 
Ukicheza Biriani kwenye dabby unapigwa.
 
Hata kocha alisema mapema, watu wasitarajie mpira soft kama walivyozoea!
Target ilikuwa kushinda na sio kucheza kuburudisha
 
woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
tSpom2hnsforeed ยท
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu
Simba
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd1%2F1%2F16%2F1f19a.png&hash=2e0c0b14d04a580e19feea86bcee8f4e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd1%2F1%2F16%2F1f19a.png&hash=2e0c0b14d04a580e19feea86bcee8f4e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd1%2F1%2F16%2F1f19a.png&hash=2e0c0b14d04a580e19feea86bcee8f4e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd1%2F1%2F16%2F1f19a.png&hash=2e0c0b14d04a580e19feea86bcee8f4e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
Itakuwa wamesahau kichuya Kona maana ake nini
 
Hao walishatufunga goli tatu kipindi cha kwanza, kipindi cha pili zikarudishwa zote na wakakoswa la nne hawana lolote, Yanga ni timu ya wapiga kelele tu.
 
ile simba tuloambiwa inaweza kumlisha mtu goli 5 inaishia kupata kagoli kamoja tena ka ndondokela kwa timu iliyopungufu? basi yanga wapo vizuri sana tena zaidi ya sana....

al ahly alimbugiza kaiza chiefs 3-0 baada ya red card... na kocha wa al ahly amekuwa akisisitiza simba iliyotolewa na kaiza ndo ngumu kwake kuliko zote... je ile kaiza chiefs ingekuwa ndo yanga ya jana ai ahly wangetoboa?
 
ule uwanja unafikili al ahly wangeweza kucheza, ingekuwa taifa mngeona shuguri yake
 
mwindaji bora ni yule ambaye hachagui pori la kuwinda... km simba ni bora basi inatakiwa kuonesha ubora wake mahala popote pale na sio kuchagua sehemu!

hata hivyo kwa mkapa walipoteza, sa sijui unazungumzia taifa ipi?
 
Back
Top Bottom