Achana na ipi bora, angalia ni chuo gani ni rahisi kwako kuishi ie gharama za maisha na kujifunza.
Chuo mpaka kikapewa idhibati ya kufundisha kozi, it means kinawezatoa product tarajiwa.
Siku hizi end product ya vyuo vikuu inabase zaidi kwenye uwezo wako wa kutafuta maarifa na wala sio jina la chuo.