Ndugu yangu mm uislam naujua vzr sana...Ndio maana nakuambia umekariri ubaya wa uislamu alikuambia baba ako ambaye na ye alikaririshwa na babu yako...
NB: uislamu ni dini pekee ya mwenyezi Mungu haina walakini ndani yake imeeleza na kugusa kila sehemu katika maisha.
Jifunze bila jazba
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
mji usio Na bar ni sawa sawa Na jehanumNi mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Muislam mwenzio huyo..Mkuu bado kitimoto haijakutoka kichwani? Kunywa maziwa utakuwa ok. Utaacha kuwaza mambo ya namna hii.
Kabla sijajibu soma thread yangu@ nyie ukiguswa uislamu lazima mtoe kashfa tu....thread yangu iko very crear ila nyie bwana...sipendi malumbano kwa sasa...Ndugu yangu mm uislam naujua vzr sana...
Nimeishi Zenji, nimeishi na waislamu toka nina miaka 6 hadi leo hii ndo nimetoka. Nimesoma madrasa japo nilikua mkristo so mm namjua vzr mudi.
Swali langu kwako....
Je Abdullah baba ake Muhamad alikua Muislamu?
Kweli mkuuNadhani Mtume alizikwa Madina na sio Mecca.
Sawa mkuu.Kabla sijajibu soma thread yangu@ nyie ukiguswa uislamu lazima mtoe kashfa tu....thread yangu iko very crear ila nyie bwana...sipendi malumbano kwa sasa...
Kama kuhusu kanzu Biblia ndio imelisifia ni vazi takatifu. Kama matusi basi utakuwa unaitukana biblia yako.Na nyie mnavyoaema kua ukitaka kuona pepo aheeti ujue kiarabu
Lazima uvae kanzu. Lazima ufuge ndevu maskini majini yamewaharibu
Hivi ukisoma Mathayo 4 unaweza kutueleza uhusiano wa roho mtakatifu aliyeshirikiana na Ibilisi katika kumjaribu Yesu nyikani? Au unaleta matusi kwa kuuchukia uislam tu?
Kama Mtume Muhammad mnasema alitokewa na Ibilisi na kumwamuru aabudu majini sasa hebu fafanua kwenye hiyo Mathayo 4 kisha ujibu maswali yafuatayo:
Kwamba wakati Yesu anachukuliwa nyikani na roho mtakatifu ili akajaribiwe na Ibilisi je Yesu alikuwa na ufahamu kwamba anakwenda kujaribiwa? Na je roho mtakatifu wakati anamchukua Yesu kwa ibilisi utakatifu wake aliuweka wapi? Au na yeye alikuwa kama Ibilisi?
Maswali hayo yanatosha kukufanya uache kutukana uislam ila kwa kuwa unachuki na uislam utaendelea kutukana badala ya kujifunza. Vinginevyo unataka hii mada ifungww maana ukiendelea kutukana tutakupa vifungu kwenye biblia kukuonesha kwamba kiumbe wa kwanza kumwamini Yesu alikuwa ni jini.
Acha dharau....
Huhuhuuuu sasa nani kawafuga ibadani mwao?Hivi ukisoma Mathayo 4 unaweza kutueleza uhusiano wa roho mtakatifu aliyeshirikiana na Ibilisi katika kumjaribu Yesu nyikani? Au unaleta matusi kwa kuuchukia uislam tu?
Kama Mtume Muhammad mnasema alitokewa na Ibilisi na kumwamuru aabudu majini sasa hebu fafanua kwenye hiyo Mathayo 4 kisha ujibu maswali yafuatayo:
Kwamba wakati Yesu anachukuliwa nyikani na roho mtakatifu ili akajaribiwe na Ibilisi je Yesu alikuwa na ufahamu kwamba anakwenda kujaribiwa? Na je roho mtakatifu wakati anamchukua Yesu kwa ibilisi utakatifu wake aliuweka wapi? Au na yeye alikuwa kama Ibilisi?
Maswali hayo yanatosha kukufanya uache kutukana uislam ila kwa kuwa unachuki na uislam utaendelea kutukana badala ya kujifunza. Vinginevyo unataka hii mada ifungww maana ukiendelea kutukana tutakupa vifungu kwenye biblia kukuonesha kwamba kiumbe wa kwanza kumwamini Yesu alikuwa ni jini.
Acha dharau....
Ww unaona kanzu zetu na zenu ni sawasawaKama kuhusu kanzu Biblia ndio imelisifia ni vazi takatifu. Kama matusi basi utakuwa unaitukana biblia yako.