Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Changamkia fursa hiyo!Karibu
Changamkia fursa hiyo!Karibu
AsanteChangamkia fursa hiyo!
Umeamkaribisha vizuri, anafikiri humu FB.Siku utakapojua maana ya hiki ulichofanya leo basi utajiona mpweke sana maana utajiona empty kichwani na pengine utajicheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]Mpaka hapo umeshajipotezea uhuru wa mawazo hapa JF, umewarahishishia wasiojulikana. Mimi wanikamate ila sio kwa kujipeleka mwenyewe kirahisi hivyo!
Hilo nalo nenoLabda ndio dereva wa hiyo nissan nyeupe mkuu