Me on february 14th,tulio single tujiandae mapema

Nitafurahi kama nitapata partner kutoka Jamii forums.

I am a normal guy, not handsome, dont have a lot of money.

But I have love and care, am in Dares salaam Karibu pm.:amen:

1508122_497879013654774_1582554316_n.jpg

Kumbe mtoa maada ni male!
 
Hahah my ribs,we MO11 wacha ubahili bana, usiku pia itakuaje

tatizo wewe maisha mazuri

nimeruka sana matuta na ukuta halafu sio ubahiri maisha ndivyo yalivyo huu uzowefu wa kuruka matuta mpaka kuna kipindi nikila mchana najishangaa

cc KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:

Swadakta mkuu....watoto wa kishua huwa wanashangaa wakiskia kuwa kachumbali ni mboga....wakati kitaa ni mboga ya heshima sana.......
 
tatizo wewe maisha mazuri

nimeruka sana matuta na ukuta halafu sio ubahiri maisha ndivyo yalivyo huu uzowefu wa kuruka matuta mpaka kuna kipindi nikila mchana najishangaa

cc KikulachoChako

Mie sio wakishua nimekula sana ugali na mboga kwa kulumangia, mboga saba subiri waje hapa
 
Last edited by a moderator:
Mie sio wakishua nimekula sana ugali na mboga kwa kulumangia, mboga saba subiri waje hapa

mimi mwenyewe nishakula mboga saba ila zote za majani halafu zimewekwa pamoja kama bomu ila wewe unaniektia mwanangu mwenyewe KikulachoChako ndio pekee ninayemjua maisha magumu kama mimi
 
Last edited by a moderator:
mimi mwenyewe nishakula mboga saba ila zote za majani halafu zimewekwa pamoja kama bomu ila wewe unaniektia mwanangu mwenyewe KikulachoChako ndio pekee ninayemjua maisha magumu kama mimi
Mpe taarifa huyo mtoto wa geti kali....dawa huwa wanakunywa na soda ili kupoza ukali.....wakati watu kitaa wanakunywa shubiri kama chai.....kwanza mwambie akamalizie maziwa yake hausigeli anamuita........
 
Hahahaa, kulikoni wajameni mbona mnanikomalia ivyo na sijawahi kuwa wakishua🙄🙄
Penye apa nilipo natafuta magunia ya mahindi walau wanangu wabadilishe mboga mezani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom