Me on february 14th,tulio single tujiandae mapema

Me on february 14th,tulio single tujiandae mapema

yaani ni hivi kama unakuja kwangu ule kabisa
maana sina ratiba ya kula mchana hapa unaruka tuta wewe utakunywa maji tu tena ya chumvi

sasa kuruka ukuta unajiandaa kisaikolojia yaani kama unakuja kulala kwangu kama umefika jion jua kwamba hiyo jioni hauli tutakesha asubuhi chai haunywi mchana nitakununulia chips za buku ila mimi sizili nitajifikiria jioni nikampige nani kizinga

Huo ucku mtakuwa mnaimba kwaya au kaswida!??
 
Beautiful gals wa JF hamko serious kabisa.
Mpaka sasa sijapata pm..
Come on girls..:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
 
Back
Top Bottom