Me on february 14th,tulio single tujiandae mapema

Me on february 14th,tulio single tujiandae mapema

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Nitafurahi kama nitapata partner kutoka Jamii forums.

I am a normal guy, not handsome, dont have a lot of money.

But I have love and care, am in Dares salaam Karibu pm.:amen:

1508122_497879013654774_1582554316_n.jpg

​ah haha haha haha..........asiombee na iwe kipindi cha barid kali na mvua za kutosha, atajifunika ngumi kama sio shuka
 
it is me MO11

mzee wa kuruka matuta hadi ukuta

nahitaji kama Shake Money

nb:kama hujui maana ya kuruka matuta na ukuta niulize
 
Last edited by a moderator:
watakuja tu mkuu tena kwa kasi... unafikiri mdada gani wa kipindi hiki hataki kupewa red rose siku hiyo!!!
 
ha ha ha ha a ha,.. Shake Money tu tu tu tu... hilo jina lilinishawishi nikahisi unazo kumbe huna basi watakuja wanaotaka care
 
Last edited by a moderator:
umeandika kitu gani hapo

yaani ni hivi kama unakuja kwangu ule kabisa
maana sina ratiba ya kula mchana hapa unaruka tuta wewe utakunywa maji tu tena ya chumvi

sasa kuruka ukuta unajiandaa kisaikolojia yaani kama unakuja kulala kwangu kama umefika jion jua kwamba hiyo jioni hauli tutakesha asubuhi chai haunywi mchana nitakununulia chips za buku ila mimi sizili nitajifikiria jioni nikampige nani kizinga
 
kumbe ndo mchezo wako enh asee nimekugundua na hii sio maana halisi uliyomaanisha
 
Back
Top Bottom