Uko France mkuu πHii vpn imerogwaView attachment 3467498View attachment 3467498
Hapo nipo naogeleaKwanini ππ
Uhakika, ππππBila hili janga najua usingesafiri π
Nimetoka huko 10min ago now nipo Brazil.Nipo
Amsterdam, Netherlands π π π π π π π
Jana nilikua machinjioni, kijereshii MWANZA URBAN, TANZANIA.
Tumeshazoea sasa hivi hatuzimi vpn imekua kawaida imagineIla haha π
Mbona kuna sehemu niliona kama umepigwa ban au π€£π€£π€£π€£Niko zangu Australia, naperuzi JF km nanawa vilee.
Woiiiiih πππππ
πππππNimetoka huko 10min ago now nipo Brazil.
Haaahaa π πHuu mji ni maarufu sana, ndege nyingi sana hapa Bongo zinafanya safari za Amsterdam Netherlandsπ
Hapa tunaangalia kupatwa kwa mweziii..Tunaijua hiyo
Haha π UK mpo wengi, vipi huko ni usiku au ni mchana ???Mimi nipo uk
View attachment 3467521
Mimi nipo uk
View attachment 3467521