Me niko Poland, we uko wapi?

Me niko Poland, we uko wapi?

Rayns

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2023
Posts
5,139
Reaction score
9,553
Wakuu habari zenu, najua tunapitia mengi ila ni afadhali tunapumua...

Unajua hizi siku 90 za JF kupigwa ban na TCRA, Jana nilikaa nikawaza sana… nikasema siwezi kabisa kukaa TZ kimya bila JF. Hivyo jana usiku ikanibidi nifanye safari ya ghafla kwenda Poland kwa jamaa yangu mmoja hivi

Huku Poland JF haisumbui, inafunguka fasta na roho yngu inatulia… damu yangu sasa imechemka kama mwanzo. Yaani jana tu nilikuwa Mbeya kwenye Kampeni Leo Poland

Vp wewe mdau, we uko nchi gani muda huu? Au bado umekwama Bongo bila JF kwako fresh tuu 😂
 
Wakuu habari zenu, najua tunapitia mengi ila ni afadhali tunapumua...

Unajua hizi siku 90 za JF kupigwa ban na TCRA, Jana nilikaa nikawaza sana😂… nikasema siwezi kabisa kukaa TZ kimya bila JF. Hivyo jana usiku ikanibidi nifanye safari ya ghafla kwenda Poland kwa jamaa yangu mmoja hivi 😂😂.

Huku Poland JF haisumbui, inafunguka fasta na roho yngu inatulia… damu yangu sasa imechemka kama mwanzo 😂. Yaani jana tu nilikuwa Mbeya kwenye Kampeni Leo Poland

Vp wewe mdau, we uko nchi gani muda huu? Au bado umekwama Bongo bila JF kwako fresh tuu 😂😂😂
View attachment 3467445
Nipo

Amsterdam, Netherlands 😊 😃 😊 😊 😁 😂 😁

Jana nilikua machinjioni, kijereshii MWANZA URBAN, TANZANIA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom