First lady Michelle kweli you are very elegant ila kwa uzuri noooo... wewe ni wa kawaida isipokuwa upo kwenye mazingira ya kukupendezesha. U have a great hubby tho
Kama hivyo sawa,utakuja leo au nikupitie napika spaggetti and meat balls kutakuwa pia na custard pudding na wine ya kushushia.nitakulinda Uporoto huna haja ya kuogopa...secret service wanakujua sana na hakuna movement yangu isiyokuwa monitored...nimeshawaweka sawa....uwe na amani....l.o.l
Hahaha! naughty girl,ofkoz juu ya Uporoto lol!juu ya Obama dear au juu ya nani?.....l.o.l
Kama hivyo sawa,utakuja leo au nikupitie napika spaggetti and meat balls kutakuwa pia na custard pudding na wine ya kushushia.
Kumbe ni Gunners basi we have alot in common,hilo la baada ya mechi limepita bila kupingwa lol!nipitie nile vizuri then tukaangalie mechi ya arsenal na BARCA then tulale....ooppsssss...twende kule chit chat basi....nisije pigwa BAN
Kuna ule msemo 'nzi kufa kidondani ...'unaanza kujisahau Uporoto....utanyongwa.....l.o.l
juu ya Obama dear au juu ya nani?.....l.o.l
Whaaat? you want to see me and him????
Enjoy!!
Hao ni mfano tu. Kwa maisha yetu ya bongo hapa inakua ngumu kidoog kuishi kama hao. Umemka asubui umeme hamna, ofosini bosi mbogo, folini barabarani, mara mshahara umechelewa, mtoto anaumwa, mara gari bovu halafu fundi anakuletea uzushi, wazazi nyumbani wanataka msaada, ni wangonjwa...n.k n.k...! Stress juuu ya stress...! Hata hayo mapenzi unaweza ukayaona shubiri.
Matokeo yake unakuta watu hawana muda wa kufurahia kama hao akina obama...! Furaha inakua imezungukwa na shida na matatizo.
Yaani mlivyopendeza...mnafikiria tu kupanda mlima wa uchaguzi ujao utakavyokuwa mrefu.
akimaliza tu madaraka yake....mi nadai talaka yangu....niko kimaslahi zaidi....l.o.l
nikishapata talaka naweza kukutafuta? ha ha ha ha:rain:
mmmmhhhh kila siku jamani husemi tu....mi nakufa kwa hamu ya kusikia kutoka kwako....l.o.l