Mdudu NESA Ananitesa

Mdudu NESA Ananitesa

Kugeuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
333
Reaction score
225
Habari wakuu!!! Computer yangu imevamiwa na virus ,ambaye amechukua mafile na kujiita nesa,ukiifungua inagoma. Nimetumia antivirua kadhaa zmedunda,msaada wakuu,antivirus gani yaweza kumuondoa na kubaki salama?
 
Weka antivirus, ukipata Kaspersky itakuwa vizuri,piga full scan Madudu yote yatatoka.
 
Tatizo likiendelea wasiliana nami Kiongozi!
 
anti virus(kama hujaweka) ni useless kama mdudu kashaingia , weka windows mpya, format drives zote( usipofanya ivi uyo kadudu katajificha kwa drives zingine na kua active tena ukiweka windows mpya)

na ukiweka windows mpya weka anti virus, Kaspersky naikubali mno
 
Nikiformat drive zote c nitakosa kila kitu
anti virus(kama hujaweka) ni useless kama mdudu kashaingia , weka windows mpya, format drives zote( usipofanya ivi uyo kadudu katajificha kwa drives zingine na kua active tena ukiweka windows mpya)

na ukiweka windows mpya weka anti virus, Kaspersky naikubali mno
 
Bado napambana mkuu,ushauri wa kwanza kwa upande wangu umebuma.
Moja bila
1569914304792.jpeg
 
Back
Top Bottom