MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,848
Duuh waafrika ni risk taker kweli....sasa hiyo ni kitoweo au?hawezi fanya mara tatu mfululizo maana lazima moja itakula kwake tu, hatari sana hii.
..muwinda huwindwa!
Duuh waafrika ni risk taker kweli....sasa hiyo ni kitoweo au?hawezi fanya mara tatu mfululizo maana lazima moja itakula kwake tu, hatari sana hii.
..muwinda huwindwa!
Nafikiri jamaa anavuta wetNadhani ni zaidi ya bangi mkuu
Huyu jamaa aliyejitolea kwenda kule ndani lazima huwa anavuta bangi, kwa akili ya bia huwezi kufanya hii jambo..:spy:
Bangi tena? Ndo uanaume huo.
Nadhani ni zaidi ya bangi mkuu
Bangi tena? Ndo uanaume huo.
akili hiyo hata nyani hana. Vp wanaodai usawa wa kijinsia?
That was in Congo Sir. In this next story, a crew member on a land oil rig in Congo reportedly went out and took a nap but never returned.
This is where he was eventually found:
Do you want a demonstration of how to catch an African python?
Nilishawahi kuona documentary yake, waliegeshewa kondoo mzee akaingia mzimamzima kutoka ndio akanasa kwenye umeme