Mdudu huyu ni Noma !(Not for the faint of heart)

Kamwe bangi siachi kwanza inanipa ujasiri wa ajabu.Naomba serikali iruhusu mirungi manake mla mrungi hapo amekwisha jinyea saa mingi
 
Nadhani ni zaidi ya bangi mkuu

Asee kweli kabsaa Elli, hapo lazima ujitoa akili yote, yaani unaenda nusu mfu, otherwise...

Bangi tena? Ndo uanaume huo.

Mkuu EMT...hata ungekuwa kama great Kalii, huwezi risk maisha hivo asee, Uanamume unaingia kwenye den lake tena yuko na mayai, asee, kama uanamume ndo huu then I'd rather not to be called so asee..

akili hiyo hata nyani hana. Vp wanaodai usawa wa kijinsia?

Hahahaha., haki ya kijinsia, hata kuchangia tu hii sredi namuona MadameX only, wengine watakuwa wanajuta kuifungua hii sredi huko waliko.
 
Last edited by a moderator:
That was in Congo Sir. In this next story, a crew member on a land oil rig in Congo reportedly went out and took a nap but never returned.

image001.jpg


image002.jpg


This is where he was eventually found:

image003.jpg


Do you want a demonstration of how to catch an African python?

Hivi kama umesaini kitu inaitwa Environmental Impach Assessment na serikali na issue kama hii ikatokea, ukiua huyo chatu/nyoka si utakuwa umevunja makubaliano? Maana kuna sehemu tunaambiwa kabisa kama mnakuja huku mkikutana na chochote msikiguse....imagine unakutana na nyoka kama huyo mwenye njaa!
Halafu walinzi wanamtegea nani kwenye malindo ya huko vichakani? Hii aibu
 
Wasukuma na wanyamwezi hii mbona issue ndogo kwao. Wanapenda sana kucheza na nyoka...na kali kuliko zote kuna wengine niliona wanacheza na fisi wanaowafuga.
 
Back
Top Bottom