Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,668
- 33,867
Au Nduraok. asante kumbe hizo. mi nazijua kwa jina la Tura
Au Nduraok. asante kumbe hizo. mi nazijua kwa jina la Tura
Duuh namwonea huruma huyu atakaetafuna hiziYes,mbili mara tatu siku saba,
Ina maana kila baada ya masaa 8 unakula viwili kwa wiki,maumivu yanapotea ndani ya siku tatu usiishia njiani dozi
Vipi zinakushinda?,mbona wala hata haileweshi,huwezi kuwashwa kana umemeza chloroquine,,yaani labda zikukatae tuDuuh namwonea huruma huyu atakaetafuna hizi
fika pharmacy nunua metronidazole ya meno au fragyl wanaaita inakua kwenye tube kwa ajili ya meno uwe unapakaa kiasi kwenye tobo la jino lilitoboka mala mbili kwa siku kiasi tu.Wakuu habari za mida hii?
Naomba kujua mdudu wa jino anatolewaje maana me mimi naona ndio ameanza.
Ninapata maumivu sana.
Asantefika pharmacy nunua metronidazole ya meno au fragyl wanaaita inakua kwenye tube kwa ajili ya meno uwe unapakaa kiasi kwenye tobo la jino lilitoboka mala mbili kwa siku kiasi tu.
Pia nunua dawa inaitwa acetominophen iko specially kwa ajili ya meno moja ya brand yake inaitwa dentamol pia unakunywa mala 3 kwa siku ni capsule zle dawa au vidonge.
Ukiweza pia nunua na dawa ya meno moja either vigor doctor au sensodyne sensitivity uwe unatumia kusukutua asubuhi na jion ukiweza hata mala 3 pia sukutua.
Niamin mimi maumivu yataacha na kama ni vtu vya sukar au vya barid utaendelea kutumia bila shida
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿Mkuu, meno yanaoza au kutoboka kwasababu ya bacteria wanaochachusha sukari ili kutengeneza acidi inayoeweza kutoboa meno.
Hii acidi inatoboa meno kidogo kidogo na kwa muda mrefu, na utaanza kuhisi maumivu pale ambapo mishipa ya fahamu ya jino ikiwa imefikiwa...
Weka limao au ndimu au sukutua maji ya uvugu vugu yalio changanywa na chumviWakuu habari za mida hii?
Naomba kujua mdudu wa jino anatolewaje maana me mimi naona ndio ameanza.
Ninapata maumivu sana.
Au tumia sensodyne dawa moja ya meno nzuri Sana hyo una swaki na kusukutulia katika jino husikaWakuu habari za mida hii?
Naomba kujua mdudu wa jino anatolewaje maana me mimi naona ndio ameanza.
Ninapata maumivu sana.