Mdudu anayepekecha jino anatolewaje?

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,045
3,821
Wakuu habari za mida hii?

Naomba kujua mdudu wa jino anatolewaje maana me mimi naona ndio ameanza.

Ninapata maumivu sana.
 
Pole pole mkuu, Kiufupi nilipata shida hiyi miaka ya nyuma na tatizo ni kwamba nilikuwa napendelea vitu vya sukari ambavyo vilipelekea meno kupekechwa na kuwa mepesi nikang'oa ila wapi nakumbuka Luna Sikh nililala kwenye boneti ya gari,ni baada ya MTU kuniambia nikajaze jino lililokuwa limetoboka,asubuhi yake ilibidi tuu niwahi wakalichomoe.

Tiba: nilitumia ndulele ,unachkua ndulele kama tano unakata kati unachemsha na maji nusu Lita ikichemka kabisa unaacha ipoe kisha unasukutua asubuhi,mchana jioni Siku tano,ndio Tiba ilionisaidia miaka kumi sasa shida imeisha,shida ni madini ya calcium Mara nyingi hivyo vitu kama dagaa vinasaidia,sidhani kama kuna mdudu wa jino kwangu ni nadharia...karibu
 
Pole pole mkuu, Kiufupi nilipata shida hiyi miaka ya nyuma na tatizo ni kwamba nilikuwa napendelea vitu vya sukari ambavyo vilipelekea meno kupekechwa na kuwa mepesi nikang'oa ila wapi nakumbuka Luna Sikh nililala kwenye boneti ya gari,ni baada ya MTU kuniambia nikajaze jino lililokuwa limetoboka,asubuhi yake ilibidi tuu niwahi wakalichomoe..

Huchanganyi na kitu chochote? Na hiyo hiyo uliochemsha siku ya Kwanza ndio unatumia siku tano au Kila siku unachemsha fresh.

Asante
 
Pole pole mkuu, Kiufupi nilipata shida hiyi miaka ya nyuma na tatizo ni kwamba nilikuwa napendelea vitu vya sukari ambavyo vilipelekea meno kupekechwa na kuwa mepesi nikang'oa ila wapi nakumbuka Luna Sikh nililala kwenye boneti ya gari,ni baada ya MTU kuniambia nikajaze jino lililokuwa limetoboka,asubuhi yake ilibidi tuu niwahi wakalichomoe..

Tiba: nilitumia ndulele ,unachkua ndulele kama tano unakata kati unachemsha na maji nusu Lita ikichemka kabisa unaacha ipoe kisha unasukutua asubuhi,mchana jioni Siku tano,ndio Tiba ilionisaidia miaka kumi sasa shida imeisha,shida ni madini ya calcium Mara nyingi hivyo vitu kama dagaa vinasaidia,sidhani kama kuna mdudu wa jino kwangu ni nadharia...karibu
ndulele inafanana je?
 
ndulele inafanana je?
images (1).jpeg
 
Ndulele ni nini mkuu?
 
Yes,mbili mara tatu siku saba,
Ina maana kila baada ya masaa 8 unakula viwili kwa wiki,maumivu yanapotea ndani ya siku tatu usiishia njiani dozi
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom