Tumtemeke Sanga? Wewe unamfahamu Tumtemeke Sanga? Aliwahi kuasisi CHADEMA wapi na lini aliwahi kutoka CCM akawa upinzani? Hivi hizi nyuzi huwa mnaandika mkiwa wapi na mnafanya nini? Tafadhali kama huna uhakika na jambo lolote usilitume humu. Hatutaki upumbavu wa kumuaibisha ndugu yetu, mwache apumzike kaburini! Nadhani wakati Tumtemeke anafanya siasa nchi hii hata baba yako alikuwa hajazakiwa pengine ndiyo maana mkawa mnasimuliwa matakataka kama haya! Hata wenye chama chao CHADEMA nadhani wanakuona unavuta bangi! Nenda kamuulize Mzee Mtei kule Arusha akupe historia ya CHADEMA!
Kwa kweli nadhani wewe ulikuwa na pampasi humujaachana, tukupe pole sana, na bahati nzuri Mzee Mtei muasisi wa CHADEMA bado yupo hai! Sanga alikuwa nwana CCM na alikufa akiwa CCM! Pole sana ila usiwe unavuta bangi hadi unachanganyikiwa! Hata Freeman Mbowe ambaye ni mkwe wa Mzee Mtei atakuwa ameoata kichefuchefu cha takataka uliyopost hapa!
Huyo bilionea Tunteneke nadhani ni mganga wenu wa kupiga tunguli lakini siyo Tuntemeke tunayemfahamu ndugu zake ambaye alikuwa mbunge wa Makete na ambaye hakuwa mfanya biashara zaidi ya kukulia na kufaa akiwa mwana CCM.