Mdude Nyagali akutana na Martha Karua

Mdude Nyagali akutana na Martha Karua

kama mtaonana mwambie mpigania haki , aboreshe lughayake imejaa sana ,accent yake ,hata kwenye kuandika
 
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.

Taarifa kamili hii hapa

Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.

Sura ya mtu kumbe hufuata matendo ama taaluma.

Huyu mwanamke kiongozi mbona ana sura kama Ananilea Nkya mwandamizi wa haki za binadamu Tz?
 
Madam inasema Karua, mdude anasema Kalua. Lipo ni lipi?!!!

Hilo Moja, pili naomba JF iwe serious jamani, yaani sisi ni WA kuletewa thread inayomhusu mdude kweli?!!! Eti ana kitabu kinachozungumzia mateso.....ana mateso gani mtoto nzuri kama huyo aliyoyapata?!!!!! Au ni mpango mwingine wa tone tone in the making?!!!!!
 
Mdude to the next level,Mwashambwa naye ajitahidi aende hata Zambia akakutane na chama kilichoondolewa madarakani na upinzani.
Haa Wale Wa Lumumba Wanawaza Uchawa
 
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.

Taarifa kamili hii hapa

Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.

Ndio inavyotakia kibibi kizee,akutane na wajukuu,awalee,sio kuzurura mahakamani ovyo.
 
Back
Top Bottom