Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Nilijua tu huyu jamaa watakuja 'kum'bambikizia' kesi ya uhujumu uchumi au madawa ya kulevya na kweli imekuwa hivyo.
 
Maneno ya busara sana haya.
Kati ya watu waliokuwa na mihemko na haya mambo basi mm nilikuwa mmoja wapo ila baadae mzee wangu alinifuata na kunikataza haya mambo ya mihemko na yeye ni mwanasiasa tena mwenye kijinafasi serikalini.
Now nimetulia zangu naangalia anavyowatumia vijana wengine katika siasa zake na wakati huo vijana wake tukiwa tunakula kuku kwa mrija.
Vijana mshikeni Mungu ili muwe na Amani,

Usikubali Kwa namna yoyote Ile kutumiwa na Chama ukapenda kupewa like mitandaoni na kichwa kikavimba, ukasahau kuwa maisha bora unayo mikononi mwako

Acheni mihemko isiyo na tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hivi siasa bila kutimia vijana kufanya propoganda haziendi eeeh!!😂
 
Nyie wajinga sana. Hivi yule Mbunge wa CCM mbona mlishangilia na hamkusema kesi ya kutunga??
Inawezekana kuwa polisi inawabambikia makosa wananchi, lakini kosa akibambikiwa mwanaccm ni halali yake sio mwanachama wa chama kingine.
Akiuwawa wa ccm ni haki
Akibomolewa wa ccm ni haki

Inji hii inaitwa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa si wanaharakati. Mi wasaliti na ni majasusi wanaotumiwa ma mabeberu na nchi maadui wa Tanzania (majirani wetu wengi ndo maadui wetu namba wani)

Maneno wanayongea ukiangalia vizuri sio ya mtu mwenye mapenzi na nchi yake.

Ona wanaharakati wa zamani na wenye mapenzi na nchi kama kina sheikh shariff hamad, James mbatia na wenzie. Hata wakikosoa nchi yani unasikiliza na unajiuliza.

Hawa wengine ni vibaraka wa mabeberu. Siku hizi majasusi sio lazima wawe na mafunzo ya kijeshi.

Humu kwenye mitandao kuna vita kubwa sana ya kijasusi. Wengine wanatumbukia kwenye hili dimbwi kiujinga tu kutokana na chuki zao za siasa. Ambazo mabeberu wanzichukulia ndo udhaifu wao na wanatumia hiyo kuwateka kifalsafa.

Angalia huyu jasusi wa kichina aliekimbilia Australia jinsi alivyodumbukia kwenye ujasusi bila kujijua





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kuwa polisi inawabambikia makosa wananchi, lakini kosa akibambikiwa mwanaccm ni halali yake sio mwanachama wa chama kingine.
Akiuwawa wa ccm ni haki
Akibomolewa wa ccm ni haki

Inji hii inaitwa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini polisi wakamkamata mccm labda tu Kama ameingia 18 za mkoloni
 
Mwafrika akishindwa kujisaidia usingizia mabeberu, mabeberu ndo uwatuma mminye demokrasia,mmpambane na upinzani kuliko kupambana na umasikini?
Utawala sio nchi tofautisha
 
Kosa lake ni kumkaribisha nyumbani kwake. Zipo sehemu nyingi sana za watu kukutana

Sent using Jamii Forums mobile app
Suppose wamekutana Bar au lodge kisha mdada anaweka baasha juu ya meza anakuambia anaenda dukani au mapokezi au counter kisha wazee hao wanakukuta na bahasha yako a heroin.

Kosa lake kumuamini binadamu kitu ambacho wote tunafanya sema ndio hivyo sisi wengine hakuna anaetuwinda. Wakikutaka wanakupata tu.

Remember the first rule of the activist is DTA (Don't Trust Anybody). If you ignore this you are done and finished.
 
Mdu
 
Unanikumbusha kale kawimbo kanakosema; UMEYATAKA MWENYEWEE.. NDINDI !!!!!!!!!!!!
 
Lini aliwahi kuikosoa serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…